Hapana.
Usipoamini uwepo wa Mungu, unakosa hata msingi wa dhana ya nabiibwa Mungu kumfufua mtu. Kwa hivyo hiyo dhana, kwa mtu asiyeamini uwepo wa Mungu, haikubaliki kuanzia mwanzo kabisa.
Ukishaamini uwrpo wa Mungu wa miujiza, umeshafungua mlango wa kuamini ujinga huu. Ukiamini Mungu wa Biblia, kuna aya inasdma.
Kwenye Biblia, Mathayo 10:8 imeandikwa
"Heal the sick, raise the dead, cleanse those who have leprosy, drive out demons. Freely you have received; freely give."
Kwa hivyo, kimsingi, ukiamini Mungu wa Biblia, nabii kumfufua mtu ni agizo la kibibkia.
Sasa, hapo utasemaje imani ya Mungu haina uhusiano na kumuamini huyu nabii?