Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA

View attachment 2832720
"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki halafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa

Hata hivyo mama mzazi wa Malisa pia amekiri kufufuliwa na mwanae huyo kwa nyakati tatu tofauti.

"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.

Itakupasa uwe na akili mgando na utindio wa ubongo na kutokujielewa Kwa 100%ili uwakubali na kuwaelewa Hawa.

Unakubalina naye??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2832211
Na kuna KENGE zinamuamini kabisa,Nchi ngumu sana hii
 
Kuna kitabu kimoja kinaitwa CHURCH MAFIA kinawelezea vizuri sana Hawa wakina prophet
F-fwjWNaoAAQPnT.jpeg
 
Sisi tunamuabudu mungu mmoja tu sio kama wewe kafir unaabudu mungu watatu na binaadamu wenzako

Bila aibu unafuata na kuabudu hili lizee MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSANHadith Idadi 16,245
 
Wacha kudandia bila kujua treni imetoka wapi, huyo hapo kanitag na kuniita huku eti anisute kuhusu ninayemuabudu, mimi pia nikamkumbushia hana jeuri ya kunielekeza maana yeye huko ndio kuchafu sana.
Poa endelen
 
MCHUNGAJI Malisa, Awadanganya Watanzania, Waislamu Na Wakristo,Kuwa alimfufua Mama Yake, na Mama Naye Akajichanganya Kwa Kusema, Alimpigia Simu aje amfufue..[emoji1]

Marehemu Anapiga Simu,, Afufuliwe [emoji848]

HOJA YANGU NI HII [emoji3596][emoji3596]

JE DUNIANI KUNA WOKOVU ? Wakristo wanadai wao ni walokole, Wameokoka Awana Dhambi.... SOMA BIBLIA [emoji116][emoji116]

MUHUBIRI 7-20 Bila Shaka Hakuna mwanadamu Mwenye Haki Duniani Afanyae Mema Asifanye na Dhambi..

Katika Aya hiyo [emoji115] Inasema Hakuna Mwenye kufanya Mema asitende na mabaya.. Kwaiyo Hakuna Wokovu...[emoji116]

1YOHANA 1-8 Tukisema Hatuna Dhambi Twajidanganya Wenyewe, Wala Kweli haimo kwetu....

Hapo [emoji115] TUNAONA BIBLIA Inasema, Wanao Sema Hawana Dhambi (Walokole) Wanakudanganya Wenyewe)

Nini Maana Ya Kuokoka? Kuokaka Kumegawanyika Mara Mbili (2) ...

1) Ni Mtu Ambaye Amenusurika na Ajali Ambayo Ilitaka kumpa Mauti au Ulemavu,Mtu Huyu TUNASEMA anakuwa ameokoa Na Ajali au Jambo la Hatari.

2) Ni Ni MTU ambaye amesafishika na Kila Kitu hana Dhambi.. AMEKAMILIKA

Waislamu tunasema kwamba Duniani Hakuna Wokovu kwa sababu Mkamilifu Ni Mwenyezi Mungu Pekee. SISI Wanadamu Bado tupo kwenye Safari, Atujui Baada Ya Lisaa Mbele kutatokea Nini. Kwa Sababu Sisi Tumeumbiwa Matamanio ya Nafsi.

Waislamu TUNASEMAGA Kuwa, Wokovu tutapata siku ya mwisho, kama Hautaingia Motoni basi wewe umeokoka, ila ukiingia Jahannam Basi Wewe ujaokoka na Moto...[emoji116]

YESU ANASEMA KTK BIBLIA KJV [emoji116]

MATHAYO 19-24-26 Yesu Anasema Jambo LA Kuokoka kwa mwanadamu hilo Haliwezekani. Ila siku ya mwisho...[emoji116]

WAKRISTO WANADAI KUWA, YESU ALIBEBA DHAMBI ZAO.

MAANA YAKE KAMA YESU KABEBA DHAMBI ZA WAKRISTO INAMAANA WAKRISTO HAWANA DHAMBI? SOMA [emoji116]

Paulo anasema Katika Biblia inayoitwa BIBLE JB

WAGALATIA 6-5 Na hapana Shaka yoyote, Wenye haki ni wenye haki, ila waovu ni waovu. Kwa Maana Kila Mtu atabeba Mzigo wake wa dhambi mwenyewe.

Paulo anasema hapo [emoji115]Kuwa hakuna mtu wa kumbebea mwingine maovu..

YAANI WEWE MKRISTO UFANYE ZINAA, UIBE, UDHULUMU, UUWE, UFANYE UFISADI.. KISHA YESU AKUBEBE MADHAMBI.. ?

ACHENI POROJO JIBUNI SWALI [emoji116]

Wakristo Wokovu wenu UPI ?

Je, ni kweli nyie hamuna Dhambi mmeokoka ?

Nyinyi na Yesu Nani Mkweli ?

Biblia na Ninyi nani mkweli ?

Aliyewaambia ninyi mmeokoka ni nan ?

Tetea HOJA kwa Aya sio Matusi na Ngonjera za kwaya...

KARIBU KATIKA UKRISTO
 
Nchi hii ina wajinga wengi

Anajuwa lazima atawapata watu,

Haya nendeni kwake mkafufuliwe ndugu zenu sasa

Ova
 
Waislamu tunasema kwamba Duniani Hakuna Wokovu kwa sababu Mkamilifu Ni Mwenyezi Mungu Pekee
Ondoa “mkamilfu” ni mwenyezi mungu pekee.
Huwezi kusema ni mkamilifu wakati vitu unavyodai umeviumba si vikamilifu.
 
If you want to be billionaire follow Christian.
 
Ukiamini Mungu yupo kweli, hutakiwi kukataa kuwa habari hii inawezekana kuwa ya ukweli.
Uwepo wa Mungu na ilo tukio la huyo jamaa ni vitu viwili tofauti kabisa.Huo wala sio uongo tu nipamoja na ujinga.
 
Ukiamini Mungu yupo na anaweza kufanya miujiza yote, huna msingi wa kukataa hilo.

Kwa sababu ukikataa habari hiyo, kimsingi utakuwa unasema Mungu hana uwezo wa kumpa mfu simu apige kuongea na nabii, halafu nabii akamfufua.

Ukiamini Mungu yupo na anaweza kufanya miujiza, huna msingi wa kukataa habari hii categorically.
Uko sio kuamini ni ujinga.viko vyakuamini ila sio huo ujinga.miujiza ya Mungu iko wazi mmoja wapo ni kumuumba binadamu mwenye akili na uelewa.Sasa ni jukum la mtu mwenyewe kuzitumia vizuri akili zake au vibaya.
 
Ukishaamini Mungu yupo, simu kitu gani bwana Mungu amekuwa mpaka na quantum instantaneous communication?

Sasa utashangaa vipi simu tu?

Kwani unataka kusema huyo Mungu kazidiwa teknolojia na TTCL?
Uwepo wa Mungu hauthibitishwi au kupimwa na uongo au utapeli wa mtu.Kuongea uongo au kufanya utapeli mtu yoyote anaweza kufanya ila wote hao bado kuna mambo ambayo hawana uwezo nayo kwasababu yako nje ya uwezo wa binadamu.Hayo ni mambo ya sisi kwa sisi tu ila yako ambayo mwenye uwezo nayo ni Mungu pekee aliyeyaumba.
 
Back
Top Bottom