Uchaguzi 2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

Uchaguzi 2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

Manabii wa leo buana, Wanaangalia upepo unavyokwenda ndo wanaingiza unabii, Magu mbona hauitaji hata huo utabiri??

Wamtabilie mwingine hata Yule aliyeenda ugenini kule hii ni baada ya Magu Kwa vipindi vyake Vyote Mungu akiidhinisha kuendelea kuwepo uhai wake
 
Namkubali his excellence JP Magufuli, ila pia sikubaliani na watumishi wanasiasa.

Madhabahu sio mahala pa siasa hata kidogo.
 
Hiyo nguo mikononi ikoje mbona ipo kikike hv ama ndio swagg....
manake wengine tupo vijijini huku
 
Lazima aongee hayo kama kurudisha fadhila kwa kutoamuliwa makanisa kufungwa Kama ilivyo mashule na vyuo maana ingewaweka kwenye wakati mgumu sana iwapo makanisa pia yangefungwa kwa ajili ya corona
 
Hivi kati ya huyu (nabii mkuu) na Komando Mashimo (nabii na mchungaji wa maaskofu na manabii wote TZ) nani ni mkubwa zaidi ya mwenzie?
 
Back
Top Bottom