Uchaguzi 2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

Uchaguzi 2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

Halafu nina mchumba anapendaga sana kwenda arusha kila jumapili kwenye hilo kanisa. Mtoto ni kisu balaa hata mchungaji hawezi acha [emoji23] [emoji23]
"nambii mkuu wa manabii wote Tanzania askofu " Duuuu!! Nyie ndio mnakamliwa pesa na mmeshapumbazwa hamuoni kitu.

Soma habari zake:
Mahakama ya hakimu mkazi jijini Arusha leo imevunja rasmi ndoa ya bibi Pamela na mumewe baada ya kuthibitika pasi na shaka kuwa alikuwa na mahusiano nje ya ndoa na nabii Joe Devie wa ngurumo za upako wa jijini Arusha.

Mtoto wa wanandoa hao mwenye umri wa miaka 15 ndiye aliyetoa ushadihi wote ukiwemo wa nabii kufika nyumbani na kupelekewa juice kwenye gari yake yenye vioo vyeusi na kukaa humo kwa muda mrefu na mamaake pia nabii kufika nyumbani usiku baba akiwa hayupo na kuambiwa akalale huku nabii akibaki na mama sebuleni muda mrefu akifanyiwa maombi maalum

Huyo ndiye Nabii!!! anayetaka tuchague kiongozi tunayemtaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nabii mkuu kutoka kitabu kipi cha Mungu??
Aache kujibaraguza aombee kwanza CORONA ipotee, ndiyo aje na zengwe za uchaguzi.....
Baanglaadeshiii😡

Everyday is Saturday.....................😎
 
Mungu amemchagua kwani unaumia

USSR
Nabii mkuu kutoka kitabu kipi cha Mungu??
Aache kujibaraguza aombee kwanza CORONA ipotee, ndiyo aje na zengwe za uchaguzi.....
Baanglaadeshiii😡

Everyday is Saturday.....................😎

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi wanachanganya mfano unabii ni kipaji tofauti na uponyaji lakini manabii kwa kujinufaisha wengi wao wanajifanya waponyaji. Uponyaji ni kipaji na si lazima uwe mchungaji au uwe wa dini fulani ni kipaji kutoka kwa Mungu. Ni kama ndoto unaweza kumuotea mtu lakini huwezi kubadilisha ni kipaji tofauti.
 
Kila mtumishi hukutana na matatizo .yesu alifunga Kula wakamwita anapepo alipokula wakamwita mlafi

Tabu tupu


USSR
Say whaaaat? Arusha ipi mkuu? Huyo jama kwanza zamani sana ndio alisikika siku hizi watu wameshamsanukia kuwa ni wakala wa shetani tu hamna lolote zaidi ya utapeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom