Uchaguzi 2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

Unamfahamu vizuri? Ana mawe ya kutosha hana njaa.
Naukuunga mkono. Kwa mawe anayo hivyo anaogopa yaliyo mpata nabii mwenzie aliyesema kuwa ana mawe kuliko sirikaali. Unajua kilicho mpata. Leo yupo mstari wa mbele kujikomba na kulamba miguu ya kiongozi mkuu.
Hivyo naamini kuwa Nabiihin Mkuu amechelewa kulamba miguu. Hakuna na nasema; Hakuna mpuuzi ka mtu anayejisema kuwa Nabii huku akifuata trend inaendaje.
Atuambie basi kuwa ametumwa na Mungu na huyo aliyesema kuwa tumchague, huyo mungu wake kasema atashinda kwa kura ngapi.
 
Kila andiko sio la kujibiwa...
 
Kwa nini asikamatwe kwa kutumia madhabahu kushawishi kura??
 
Huyo Nabii Ataanguka Kifudifudi Kama Anania & Safira
Bro acha kutuharibia majina yetu
Anania ni outstanding name
Ndie aliemuombea Sauli anaeitwa Paul
Mtume wa Mataifa
 
Back
Top Bottom