Uchaguzi 2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

Uchaguzi 2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

Huyu jamaa anatoza watu hela taslimu sio sadaka ya MTU kujitolea unavyowiwa alafu halipi kodi kama haitoshi yeye na mkewe wanafurahia rais hajazuia mikutano ya injili maana angepoteza pesa nyingi sana.

Amepatia business ya kupiga hela bila kodi na ninadra kumwona anasaidia yatima/wajane lakini utamwona na maisha yake ya kifahari kupindukia akijiachia na familia binafsi bila kujali waumini wasiojua hata mlo wanaupataje!! Bora nikasalie shambani kwangu sio kwenye hema lake lilojaa madoa sugu
Sio kosa kisheria kula cha madhabahuni

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima aongee hayo kama kurudisha fadhila kwa kutoamuliwa makanisa kufungwa Kama ilivyo mashule na vyuo maana ingewaweka kwenye wakati mgumu sana iwapo makanisa pia yangefungwa kwa ajili ya corona
Tungelipa sadaka kwa simu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu nambii mkuu wa manabii wote Tanzania askofu ,his excellence Joe Davie amewaasa wanaarusha na watanzania kwa ujumla kuangalia mazuri ya mh John Magufuli kama rais bora madhabahuni

Nabii huyu mwenye wafuasi wengi ndani na nje ya nchi akiwa katika madhabahu takatifu amewaasa watu kuangalia nini amefanya JPM kama kiongozi bora kwa kipindi hiki

Madhabahu imetamka nani apinge

USSR
View attachment 1403780
Nasubiri CCM waseme asichanganye dini na siasa!
 
Huyu nambii mkuu wa manabii wote Tanzania askofu ,his excellence Joe Davie amewaasa wanaarusha na watanzania kwa ujumla kuangalia mazuri ya mh John Magufuli kama rais bora madhabahuni

Nabii huyu mwenye wafuasi wengi ndani na nje ya nchi akiwa katika madhabahu takatifu amewaasa watu kuangalia nini amefanya JPM kama kiongozi bora kwa kipindi hiki

Madhabahu imetamka nani apinge

USSR
View attachment 1403780
Hapo hajachanganya kabisa dini na siasa kwa mujibu wa chama cha waliokabidhi akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba bana, huyu kwa sababu kasifu na kaabudu, hata akiomba uraia kesho anapewa!!! utasikia kwanza huyu jamaa ni mpemba kakulia pale mwaneromango
Mbona huyu ni mtanzania mkuu, huyu ni mtu wa Singida kama sijakosea.
 
Akafie mbele.

Back
Top Bottom