Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Kuna dada mmoja hadi kaghaili kuolewa sababu ya huyo nabii fk"nambii mkuu wa manabii wote Tanzania askofu " Duuuu!! Nyie ndio mnakamliwa pesa na mmeshapumbazwa hamuoni kitu.
Soma habari zake:
Mahakama ya hakimu mkazi jijini Arusha leo imevunja rasmi ndoa ya bibi Pamela na mumewe baada ya kuthibitika pasi na shaka kuwa alikuwa na mahusiano nje ya ndoa na nabii Joe Devie wa ngurumo za upako wa jijini Arusha.
Mtoto wa wanandoa hao mwenye umri wa miaka 15 ndiye aliyetoa ushadihi wote ukiwemo wa nabii kufika nyumbani na kupelekewa juice kwenye gari yake yenye vioo vyeusi na kukaa humo kwa muda mrefu na mamaake pia nabii kufika nyumbani usiku baba akiwa hayupo na kuambiwa akalale huku nabii akibaki na mama sebuleni muda mrefu akifanyiwa maombi maalum
Huyo ndiye Nabii!!! anayetaka tuchague kiongozi tunayemtaka
Sent using Jamii Forums mobile app