thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Dunia ina zama naiangalia sina cha kufanya moyoni naumia,dah yaan Nabii wa manabii! !!yarab nadhani wawaona waja wako wamavyojipa unabii tu duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ulinganifu kati ya Nabii wa manabii na askofuKwani huyu nabii anatofautiana nini na wale watetezi wa saccos ya ufipa,askofu Munga ,nk?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wake wa kiume ni Nisher yule director ya music video aliyetamba sana,sijui kama ana mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu mabaya je? Nabii anayetetea mabaya.kuangalia mazuri ya mh John Magufuli
Nabii mjingaUshabiki wa vyama tuache kura tumpe Magufuli, kwani huyo Magufuli hana chama.?