Uchaguzi 2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

Kuna dada mmoja hadi kaghaili kuolewa sababu ya huyo nabii fk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiepusheni na kaeni mbali na ndimi za manabii wa uongo km huyu.....
******** karibu nchi hakuna anayeweza kumchagua....

UKIACHA wale wasaka vyeo, uchaguzi ukiwa huru na haki Basi hakuna mfanyakazi, mkulima, mfanyabiashara au MWANAFUNZI anaweza kuchagua MAGUFULI na chama Cha kigaidi na kishetani ccm
 
Huyo anawa brainwash waumini, ana mungu wake anaitwa mungu geodavid, redio yake masaa yote ni kutangaza mpesa wafungue mikono ya nabii

Sent using Jamii Forums mobile app

Yupo kibiashara huyu Mtu na hana looote ,Wajinga wengi wametapeliwa na huyu Mtu na kubakia/kupelekea kuwa Masikini kabisa.Nimeya shuhudia na sikuhadithiwa.
 
Mbona Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam kila siku anaipigia chapuo CCM hadharani? Tatizo siyo dini bali tatizo ni CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha, nabii wa manabii siyo? Mwambie asichanganye dini na siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nabii mkuu kutoka kitabu kipi cha Mungu??
Aache kujibaraguza aombee kwanza CORONA ipotee, ndiyo aje na zengwe za uchaguzi.....
Baanglaadeshiii😡

Everyday is Saturday.....................😎
Kumbe kuna manabii wakuu na wasio wakuu.....Senior prophet na junior prophets???? Hata wakati wa Yesu hawakuwepo....Kweli binadamu wa kizazi hiki ni hatari.
 
Ye kama ni mnufaika na uwepo wa MTU huyo hana haki ya kuwapangia wengine warudie makosa ili wateswe tena Miaka 5 hata Mungu atatushangaa.
 
Kama watu wataamua kurudia makosa tena watateswa sana yule MTU Furaha yake ni kuumiza watu na sio kuwafuta machozi watu kila MTU yu shahidi
 
Acha udini


USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…