Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwingira ni nabii wa shetani
Mwingira ni nabii wa shetani
Anayejiita Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja Kiwanda Cha Waislam Mwenge baada ya Kukivamia na kuchoma moto katika tukio la kwanza lililofanyika siku ya jumatatu ya pasaka Mwaka huu.
Kamanda Kenyera alitoa agizo kuwa Kiwanda hicho kisivunje tena mpaka Shauli lililo mahakamani lisikilizwe .
Ni jambo ajabu Nabii Mwingira amedharau Mahakama na vyombo vya dola kwa kisingizio kuwa anasikiliza miungu yake!!

Kwanini Mwingira kadharau amri ya mahakama?
Mwingira ni nabii wa shetani
Mwingira ni nabii wa shetani
. Weka hiyo stop order ya mahakama hapa ili tuweze kuchangia mada.
Kama hamna basi wewe ni muongo mkubwa.
.
Mwingira ni nabii wa shetani
Inamaana kamanda Kenyela alidanganya umma aliposema swala lipo mahakamani,naomba nisaidie Mkuu
Pita salama wasalimie kisarawe!
kama mwingira ni nabii basi lucifer atakuwa ndio mkombozi!