Nabii na chupi za upako kwenye wenye matatizo ya kimahusiano na nguvu za uzazi

Chupi za upako,maombi,chumvi,damu ya Yesu sijui nini vyote havitakusaidia.Kitu pekee ambacho kitakusaidia ni akili peke yake.Kwani makampuni makubwa makubwa yaliyofanikiwa sana duniani kama vile google,Amazon,facebook,Microsoft,Apple,e.t.c wanatumia maombi au chumvi au chupi za upako au damu ya Yesu?!

Wanachofanya hawa wanaojiita ni manabii ni utapeli wa wazi tu na huenda pia huwa wanakula wake za watu kwa kisingizio cha upako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…