Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
haha nimekumissHata mimi shogaangu,tunajuana wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha nimekumissHata mimi shogaangu,tunajuana wenyewe
ndiyowe ni mganga?
Nimekumiss pia shogaa'nguhaha nimekumiss
safi ivi naweza pata nafasi ya mahojiano ya waganga wachawi na jin hata mmoja yan n amaswali yangu nataka niwaulize hao watu nitake notendiyo
Na wewe fanyaHivi kwanin wadada wa JF wanafanya biashara kubwa kubwa na kusukuma mandinga,,,?
Kumfunga kivipi?usiseme Hivyo mkuu unajua kuna wanaume wanakwenda kuwafunga wake zao kwa waganga?
kuna net za bure ujaenda kuchukua?Uchumi wa kati
we yaone ivo tu yanagarama yake hayo nje ya akilChupi za upako,maombi,chumvi sijui nini vyote havitakusadia.Kitu pekee kitakachokusaidia ni akili tu.Kwani makampuni makubwa makubwa yaliyofanikiwa duniani kama vile google,Amazon,facebook,Microsoft,Apple,e.t.c wanatumia maombi au chumvi au chupi za upako?!
Hakuna kitu kama hicho!Kama yanatumia uchawi au damu ya Yesu tuthibitishie hapawe yaone ivo tu yanagarama yake hayo nje ya akil
Awamu ya 5 hakuna mbuukuna net za bure ujaenda kuchukua?
watu wanatoana meno huku😅Awamu ya 5 hakuna mbuu
Huyo mwenzako alikaa zaidi ya lisaa limoja kufanya nini?Kuna ambayo hakukuadhithia!Dudu la upako