Nabii na chupi za upako kwenye wenye matatizo ya kimahusiano na nguvu za uzazi

Mama achana na kubishana nae, sema nikupitie wapi twende tukajisitiri na hii mvua leo? Nina vibe la kutulia tulia tu leo mahala tulivu nikinyonya RuiZ whiskey ila na mubeibe mkare pembeni!
Ha ha ha ha muhusika amekaa kimya? Comment iliyotoka si umesema mimi ndio mtoa mada nimekuja na ID nyingine? Unaona usivyojielewa sasa? Sasa hivi nimekuwa sio mtoa mada tena?
Wewe acha tu kimbelembele kama tai. Basi.
 
Hahaha kweli hamna kazi tamu kama unabii😅😅😅 yani unapiga hela na papuchi at the same damn time. Burudani ilioje!!!
mimi uku Buza napigwa Hela na papuchi naipata kwa tochi dadeki

manabii wameyapatia maisha sanaa, hua wanatuma na ya kutolea
 
Kaka kama una kipaji cha kuongea tuanze shughuli mapema. Hela zinatupita! Kwa jinsi wachaga walivyo watu wa fursa nashindwa kuelewa mpaka sasa kwanini hamna nabii wa kichaga.
daaah mi kwenye kuongea nipo null kinoma, introvert mmoja matata sana
ndio maana nafwa fukara, na kuishia kutafuna vinuka mkojo wa kwa Mpalange
 
daaah mi kwenye kuongea nipo null kinoma, introvert mmoja matata sana
ndio maana nafwa fukara, na kuishia kutafuna vinuka mkojo wa kwa Mpalange
Hahah kwahio unawawaza hao watu. Usihanye msee! Itisha mama kisha ropoka tu.
 
Kuna watu wanapiga hela! Yani chupi anunue elfu tanotano alafu akauze laki na nusu 😆
Faida ya 145,000 kwa mtaji wa 5,000
 
Kaka kama una kipaji cha kuongea tuanze shughuli mapema. Hela zinatupita! Kwa jinsi wachaga walivyo watu wa fursa nashindwa kuelewa mpaka sasa kwanini hamna nabii wa kichaga.
Tufanye na mimi honey, baba na mama mchungaji
 
Kwani huyo nabii aliwaonya msimtaje? Au biashara yake ni ya siri?
 
Kaka kama una kipaji cha kuongea tuanze shughuli mapema. Hela zinatupita! Kwa jinsi wachaga walivyo watu wa fursa nashindwa kuelewa mpaka sasa kwanini hamna nabii wa kichaga.
Tufanye na mimi honey, baba na mama mchungaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…