Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe fanya
Ha ha ha ha muhusika amekaa kimya? Comment iliyotoka si umesema mimi ndio mtoa mada nimekuja na ID nyingine? Unaona usivyojielewa sasa? Sasa hivi nimekuwa sio mtoa mada tena?
Wewe acha tu kimbelembele kama tai. Basi.
hao jamaa sio tu wanaingiza pesa nyingi mno,Kwa style hii wake zetu watatafunwa sana na hawa wanaojiita manabii aisee.
Hahaha kweli hamna kazi tamu kama unabii😅😅😅 yani unapiga hela na papuchi at the same damn time. Burudani ilioje!!!hao jamaa sio tu wanaingiza pesa nyingi mno,
wanatafuna papuchi za kila aina, pisi, non-pisi, chubby, vimbaumbau, na kadhalika
mimi uku Buza napigwa Hela na papuchi naipata kwa tochi dadekiHahaha kweli hamna kazi tamu kama unabii😅😅😅 yani unapiga hela na papuchi at the same damn time. Burudani ilioje!!!
Wanatuma tena? Wao ndio hutumiwa na ya kutolea.mimi uku Buza napigwa Hela na papuchi naipata kwa tochi dadeki
manabii wameyapatia maisha sanaa, hua wanatuma na ya kutolea
hahahahhahaaWanatuma tena? Wao ndio hutumiwa na ya kutolea.
Kaka kama una kipaji cha kuongea tuanze shughuli mapema. Hela zinatupita! Kwa jinsi wachaga walivyo watu wa fursa nashindwa kuelewa mpaka sasa kwanini hamna nabii wa kichaga.hahahahhahaa
nikiwa mkubwa nataka niwe nabii
daaah mi kwenye kuongea nipo null kinoma, introvert mmoja matata sanaKaka kama una kipaji cha kuongea tuanze shughuli mapema. Hela zinatupita! Kwa jinsi wachaga walivyo watu wa fursa nashindwa kuelewa mpaka sasa kwanini hamna nabii wa kichaga.
Hahah kwahio unawawaza hao watu. Usihanye msee! Itisha mama kisha ropoka tu.daaah mi kwenye kuongea nipo null kinoma, introvert mmoja matata sana
ndio maana nafwa fukara, na kuishia kutafuna vinuka mkojo wa kwa Mpalange
Tufanye na mimi honey, baba na mama mchungajiKaka kama una kipaji cha kuongea tuanze shughuli mapema. Hela zinatupita! Kwa jinsi wachaga walivyo watu wa fursa nashindwa kuelewa mpaka sasa kwanini hamna nabii wa kichaga.
Kwani huyo nabii aliwaonya msimtaje? Au biashara yake ni ya siri?Jana nilimsindikiza shostisto wangu kwa nabii. Kilichompeleka yeye ni shida na changamoto za mahusiano yake.
Mume mlevi, mume Malaya Kama mbwa, mume bahili, hajali ndoa Wala familia. Hajali ndugu zake Wala wa mkewe. Mume mgumu Kama ndevu za gaidi wa Mkuranga.
Rafiki yangu huyu aliniomba niandamane naye kwa nabii ili aniangalizie Mambo yangu, kwani tangu kipindi Cha Corona Biashara zangu zimeyumba Sana na hata shamba langu la nyoka [emoji216] ambalo ndilo lilikuwa likiniingizia fedha za kigeni Sasa najihisi kana kwamba linaweza kunishinda kabisa ku operate.
Sasa kila mtu aliingia kwa awamu yake chumbani kwa nabii. Mimi ndiye niliyeanza na Kisha mwenzangu akafuatia.
Nabii alikuwa mchangafu akanitia moyo kuwa hata kampuni kubwa Ulaya zimeanguka, nijipe Moto nitainuka Tena.
Akaniombea nikatoka, akaingia mwenzangu. Mwenzangu huko ndani alikaa zaidi ya saa moja, akatoka nje akaniuliza una laki moja happy unipe ntakurejeshea nyumbani? Nikamjibu cash Nina 75'000/ akasema nipe hizohizo, na Kama unayo balance kwenye simu rusha kwa namba hiii ya nabii. Nikamrushia.
Rafiki akaingia ndani ambako Sasa alikaa Kama dakika Saba Kisha akatoka nje.
Safari ya kuelekea kwenye gari ikaanza, ndipo akaanza kunipa mchapo.
Nabii anatoa chupi za upako ambazo zinasaidia Kama mume hatulii, una ugumba etc. Chupi ni za Holland Wax na unaweza jipatia kwa kadiri utakavyo.
Bei ya kila moja ni laki unusu.
Endeleeni na chupi zenu za upako mi ntapambana na maombi nikilitumia jina la Yeah na damu yake ya thamani na kuoga kwa chumvi ya mawe Kama alivyofundisha Mshana Jr.
Tufanye na mimi honey, baba na mama mchungajiKaka kama una kipaji cha kuongea tuanze shughuli mapema. Hela zinatupita! Kwa jinsi wachaga walivyo watu wa fursa nashindwa kuelewa mpaka sasa kwanini hamna nabii wa kichaga.
😆Huhuhu hio Duo itakuwa si mchezo,,,, "Nakusindekei Rakashababababah!!! Rabaitekero shakarabah!" Pokea uponyaji 🤚🏽Tufanye na mimi honey, baba na mama mchungaji
Sawa beibe kanisa tuliweke kwa wapi mama mchungaji 😅Tufanye na mimi honey, baba na mama mchungaji
"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa"NabiianatoaANAUZA chupi za upako. Bei ya kila moja ni laki unusu.
upako na mimi ni vitu viwili tofautiUnakwama wapi? Jipatie chupi za upako.