monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni hivyo haukuna haja ya kukiombea maana Mungu amaeshaamuaWhat if Mungu anapenda chama hiki kuendelea kutuongoza?
Kutikisika kwa ccm ama kuvunjika kwa ccm ndo utakuwa mwanzo nchi hii kuwa huru kiuchumi, kielimu, kiafya na kisiasa...ccm ni pango la shetwani kweli kweliSalaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.
Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.
Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241]
Karibuni.[emoji120]
Source: POG family Tv.
Ndo maombi yanahitajika,Kutikisika kwa ccm ama kuvunjika kwa ccm ndo utakuwa mwanzo nchi hii kuwa huru kiuchumi, kielimu, kiafya na kisiasa...ccm ni pango la shetwani kweli kweli
What if Mungu anapenda chama hiki kuendelea kutuongoza?
Swali Hilo atajibu Nabii Sanga mwenyewe!!Well if? But how do you know Mungu anakipenda?
😂😂😂Mwambieni aache bangi
Kila kitu ni siasa.Politica
kumbe mnalijua hilo,sasa ya nini ccm kutumia vyombo vya usalama kuumiza watu wa upinzani kila ifikapo nyakati za uchaguzi?.Wajinga ndiyo waliwao.
Anaeamini kuwa CCM itaishi milele huyo ni poyoyo tu.
Salaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.
Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.
Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241]
Karibuni.[emoji120]
Source: POG family Tv.
Umebadili ID?Mkuu
Hili halihitaji maono,
Ni jambo ambalo liko wazi kwa upepo ulivyo
Ngoja tuone ndumba za Bara vs Visiwani
Tuupe Muda nafasi