Pre GE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

Pre GE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Asee Kuna watu majasiri, mtu mmoja anachukua fomu nyakati za lala salama,

Ni ndoto tu za mchana lakini.
 
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama
Kwa hiyo tukiombee au tuache tu?
 
Kwani ikigawanyika inatuhusu nini au inatusaidia nini, Tanzania ipo bila ccm na maisha yanaendelea tu hata ccm isipokuwapo
 
Back
Top Bottom