Pre GE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kutikisika kwa ccm ama kuvunjika kwa ccm ndo utakuwa mwanzo nchi hii kuwa huru kiuchumi, kielimu, kiafya na kisiasa...ccm ni pango la shetwani kweli kweli
 
Kutikisika kwa ccm ama kuvunjika kwa ccm ndo utakuwa mwanzo nchi hii kuwa huru kiuchumi, kielimu, kiafya na kisiasa...ccm ni pango la shetwani kweli kweli
Ndo maombi yanahitajika,

Ili itikisike Kwa Utaratibu isije haribu pasohusika.
 
Wengine wanasoma humu jamii forum wati tunavyobishana tayari anatoa unabii Unabii atwambie nani atakuwa rais 2025
 
Mkuu

Hili halihitaji maono,

Ni jambo ambalo liko wazi kwa upepo ulivyo

Ngoja tuone ndumba za Bara vs Visiwani

Tuupe Muda nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…