R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Jan 22, 2025 Thread starter #321 Tayana-wog said: Sina muda wa kuombea chama, watajuana wenyewe Mambo ya kuombea ni mengi Click to expand... Nyumba ya Jirani ikiungua, hupasi kushangilia maana cheche tu zinatosha kubadili Hali ya hewa kwako.
Tayana-wog said: Sina muda wa kuombea chama, watajuana wenyewe Mambo ya kuombea ni mengi Click to expand... Nyumba ya Jirani ikiungua, hupasi kushangilia maana cheche tu zinatosha kubadili Hali ya hewa kwako.
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Feb 25, 2025 Thread starter #322 Asee Kuna watu majasiri, mtu mmoja anachukua fomu nyakati za lala salama, Ni ndoto tu za mchana lakini.
Asee Kuna watu majasiri, mtu mmoja anachukua fomu nyakati za lala salama, Ni ndoto tu za mchana lakini.
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Feb 26, 2025 #323 Rabbon said: Asee Kuna watu majasiri, mtu mmoja anachukua fomu nyakati za lala salama, Ni ndoto tu za mchana lakini. Click to expand... Hahaha
Rabbon said: Asee Kuna watu majasiri, mtu mmoja anachukua fomu nyakati za lala salama, Ni ndoto tu za mchana lakini. Click to expand... Hahaha
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Feb 26, 2025 #324 Rabbon said: Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama Click to expand... Kwa hiyo tukiombee au tuache tu?
Rabbon said: Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama Click to expand... Kwa hiyo tukiombee au tuache tu?
R RESILIENT KATO JF-Expert Member Joined Aug 21, 2024 Posts 1,472 Reaction score 2,766 Feb 26, 2025 #325 Rabbon said: Asee Kuna watu majasiri, mtu mmoja anachukua fomu nyakati za lala salama, Ni ndoto tu za mchana lakini. Click to expand... Nani huyo!!?wote wamefyata wanaogopa kufukuzwa uanachama!!
Rabbon said: Asee Kuna watu majasiri, mtu mmoja anachukua fomu nyakati za lala salama, Ni ndoto tu za mchana lakini. Click to expand... Nani huyo!!?wote wamefyata wanaogopa kufukuzwa uanachama!!
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Feb 26, 2025 #326 RESILIENT KATO said: Nani huyo!!?wote wamefyata wanaogopa kufukuzwa uanachama!! Click to expand... 🤣🤣🤣
RESILIENT KATO said: Nani huyo!!?wote wamefyata wanaogopa kufukuzwa uanachama!! Click to expand... 🤣🤣🤣
T The redemeer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2025 Posts 1,497 Reaction score 2,681 Feb 26, 2025 #327 Kwani ikigawanyika inatuhusu nini au inatusaidia nini, Tanzania ipo bila ccm na maisha yanaendelea tu hata ccm isipokuwapo
Kwani ikigawanyika inatuhusu nini au inatusaidia nini, Tanzania ipo bila ccm na maisha yanaendelea tu hata ccm isipokuwapo