Pre GE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

Pre GE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ana maana yake anapokuuliza mungu yupi
Kiukweli kimfumo,

CCM ilisukwa HAKIKA, wavamizi na walanguzi walioondoa Maadili ya viongozi ndo wameingiza Giza ndani ya chama.
 
Nilichoelewa hapa,

CCM inaitwa kutubu.
 
Wajinga ndiyo waliwao.

Anaeamini kuwa CCM itaishi milele huyo ni poyoyo tu.
Nabii hajasema kuwa CCM ni ya milele,

Amesema muda mrefu ujao.

Pitia video hiyo, IPO

POG family tv- Nabii Sanga.
 
For your information huyo prophet ndio baba wa kiroho wa Mwigulu Familia nzima ya mwigulu wanasali hapo..incase huyo prophet hayupo kusafiri etc mke wa mwigulu ndio anahubiri....maybe kapewa za chini chini ndani ya ccm kutokana na trend....
Thibitisha hili.

Mwigulu anasali Kwa Matsai KKKT, johnthebaptist ni shahidi.
 
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.

Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.

Sasa mgawanyiko wa CCM unawahusu nini Watanzania hadi wapoteze muda kuwaombea hao CCM?

CCM ni chama cha siasa kama vyama vingine, wakiyumba ni chama kimeyumba na wenye kuombea hilo lisitokee ni wana CCM wenyewe na chama chao
 
Back
Top Bottom