Uchaguzi 2020 Nabii Shilla ahamia ACT-Wazalendo na kuchukua fomu ya kuwania Ubunge

Uchaguzi 2020 Nabii Shilla ahamia ACT-Wazalendo na kuchukua fomu ya kuwania Ubunge

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
20,694
Reaction score
32,527
shilla.JPG

Nabii shilla au maarufu Billionaire Shilla amehamia chama cha ACT-Wazalendo na kuchukua form ya kugombea huko Kilombero.

Huyu mtu alifanya jambo la ajabu na la kijinga ambalo kama chadema wasingemfuta uanachama basi Chadema ingekuwa imepoteza umakini walionao.

Mtu hajashinda kura za maoni, na wala hajateuliwa na kamati kuu alafu anaenda mbio kuchukua form ya kugombea.

Ilikuwa ni dharau kubwa kwa kamati kuu na chama.

Ila kuna tatizo kwa baadhi ya watu maana alikuwa ashapata na wafuasi humu kwa kuamini kile anachokisema na mwisho kuitwa kamanda.
 
Chadema imekuwa kama Chama cha walevi huyo nabii shila wao wamempamba weee kwenye mitandao kila uchwao mbaka kajiona tayari ni nabii kweli alafu wanakuja tena wanamkata , aliyekwambieni mumsifie vile ni nani? Kama sio tumbaku ..
 
Ni platform gani ya chama ilimpamba? Ina maana hapa ujinga unaoufanya wewe tuuite ni wa CCM?
 
Back
Top Bottom