Uchaguzi 2020 Nabii Shilla ahamia ACT-Wazalendo na kuchukua fomu ya kuwania Ubunge

Shila ni mtumishi wa Mungu na Mungu kamuepusha kwenye njia isiyosahihi.

Hahahaa, labda mtumishi wa shetani. Mungu hajamkubali. Mwache atangetange kisha Mungu amteme mazima. Unabii kwake ni kichaka cha maovu. Kimsingi huyu jamaa ni muhuni tu na mtafuta mali.
 
Na Wasiojulikana wa CCM
Hao sasa wanajulikana maana tuko nao. Ila kwakuwa wana kiherehere tutawanawa. Hata kipindi cha apartheid regime huko SA walikuwepo wengi sana tene walilipwa ujira mdogo tu.
 
Nabii shilla au maarufu Billionaire Shilla amehamia chama cha ACT na kuchukua form ya kugombea huko Kilombero.

Huyu mtu alifanya jambo la ajabu na la kijinga ambalo kama chadema wasingemfuta uanachama basi Chadema ingekuwa imepoteza umakini walionao.

Mtu hajashinda kura za maoni, na wala hajateuliwa na kamati kuu alafu anaenda mbio kuchukua form ya kugombea.

Ilikuwa ni dharau kubwa kwa kamati kuu na chama.

Ila kuna tatizo kwa baadhi ya watu maana alikuwa ashapata na wafuasi humu kwa kuamini kile anachokisema na mwisho kuitwa kamanda.
Ana siasa za kishamba Sana
Alifikiri chadema ni chama Cha kuchezea atavyo
 
Nabii shilla au maarufu Billionaire Shilla amehamia chama cha ACT na kuchukua form ya kugombea huko Kilombero.

Huyu mtu alifanya jambo la ajabu na la kijinga ambalo kama chadema wasingemfuta uanachama basi Chadema ingekuwa imepoteza umakini walionao.

Mtu hajashinda kura za maoni, na wala hajateuliwa na kamati kuu alafu anaenda mbio kuchukua form ya kugombea.

Ilikuwa ni dharau kubwa kwa kamati kuu na chama.

Ila kuna tatizo kwa baadhi ya watu maana alikuwa ashapata na wafuasi humu kwa kuamini kile anachokisema na mwisho kuitwa kamanda.
Ilikuwaje mkurugenzi akamkabidhi form bila comfirmation ya chama cha Chadema kuwa huyo ndio mwakilishi wa chama?
 
hamna kitu hapo.

Hakuna mtumishi wa Mungu wa kweli anayeweza kuhangaika na ubunge. Mtumishi wa Mungu ni zaidi ya Rais wa nchi.

JESUS IS LORD
Kuna mtumishi alishawahi kulisema hili lakini ndiye aliyekuwa wakwanza kiguu na njia kuomba ridhaa ya kukiwakilisha chama nafasi ya ubunge. Sijui alikuwa amekula maharagwe ya wapi mpaka akakengeuka na kurudia yaleyale aliyoyapinga?
Neno linasema tutawajua kwa matendo yao
 
Huyu dogo anavisera vya kitoto eti ataleta maendeleo kwapesa zake!??! Kibiashara changuo na kufuga kitimoto ndiyo ujengee kilombero?? Akwende zaka anapenda makiki kama ya dayamondi
 
Huh ni uchaguzi àmbao CCM wanaenda kupita kwa kishindo mkuu.
 
Kwa hiyo hakuna tena kuachiana majimbo kati ya AÇT na CDM? Au itakuwaje hilo jimbo akiachiwa wa CDM? Shillah atahama tena?
 
Huyu dogo anavisera vya kitoto eti ataleta maendeleo kwapesa zake!??! Kibiashara changuo na kufuga kitimoto ndiyo ujengee kilombero?? Akwende zaka anapenda makiki kama ya dayamondi
Kama analeta maendeleo kwa fedha zake si afanye hayo maendeleo ?Si lazima awe mbunge. Yaani hapa anadanganya wazi wazi.
 
Nabii shilla au maarufu Billionaire Shilla amehamia chama cha ACT na kuchukua form ya kugombea huko Kilombero.

Huyu mtu alifanya jambo la ajabu na la kijinga ambalo kama chadema wasingemfuta uanachama basi Chadema ingekuwa imepoteza umakini walionao.

Mtu hajashinda kura za maoni, na wala hajateuliwa na kamati kuu alafu anaenda mbio kuchukua form ya kugombea.

Ilikuwa ni dharau kubwa kwa kamati kuu na chama.

Ila kuna tatizo kwa baadhi ya watu maana alikuwa ashapata na wafuasi humu kwa kuamini kile anachokisema na mwisho kuitwa kamanda.
acha nao wakusanyekusanye ila kitawapata Cha chadema
 
Huyu kijana alitaka apitishwe halafu ajiengue na aliahidiwa fedha taslimu million 20. Tulikanasa mawasiliano yake kajinga kweli!
Duh[emoji849][emoji848]ngachoka!

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Back
Top Bottom