Uchaguzi 2020 Nabii Shilla ahamia ACT-Wazalendo na kuchukua fomu ya kuwania Ubunge

Uchaguzi 2020 Nabii Shilla ahamia ACT-Wazalendo na kuchukua fomu ya kuwania Ubunge

Nabii shilla au maarufu Billionaire Shilla amehamia chama cha ACT na kuchukua form ya kugombea huko Kilombero.

Huyu mtu alifanya jambo la ajabu na la kijinga ambalo kama chadema wasingemfuta uanachama basi Chadema ingekuwa imepoteza umakini walionao.

Mtu hajashinda kura za maoni, na wala hajateuliwa na kamati kuu alafu anaenda mbio kuchukua form ya kugombea.

Ilikuwa ni dharau kubwa kwa kamati kuu na chama.

Ila kuna tatizo kwa baadhi ya watu maana alikuwa ashapata na wafuasi humu kwa kuamini kile anachokisema na mwisho kuitwa kamanda.
Yes

Life is full of alternatives.

Afanye anachokiamini.
 
Mbona ACT walishatoa jina la mgombea wao kwenye jimbo la Kilombero, Somebody Rashidi. Huyu asije akawa kivuruge tu
 
Huyu kijana alitaka apitishwe halafu ajiengue na aliahidiwa fedha taslimu million 20. Tulikanasa mawasiliano yake kajinga kweli!
Tuliwaaambia toka mwanzo kuwa haka katapeli mkaishia kutupiga mawe sasa imekuwaje tena, Kuna watu humu wanajifanya wafia chama kumbe mambumbumbu tu
 
Hii imetokea baada ya Bilionea Shillah Kuhama CHADEMA na kutimkia ACT na kisha kuchukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kilombero kupitia chama hicho. Hayo yametokea ikiwa ni Siku chache zimepita tangu mgombea wa ACT aliyepitishwa na kamati kuu Rashid Mohammad achukue fomu ya kuteuliwa kugombea ubunge kwa chama hicho.
 
Shillah mamluki yule, na atawasumbua Sana Act
 
Hii imetokea baada ya Bilionea Shillah Kuhama CHADEMA na kutimkia ACT na kisha kuchukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kilombero kupitia chama hicho. Hayo yametokea ikiwa ni Siku chache zimepita tangu mgombea wa ACT aliyepitishwa na kamati kuu Rashid Mohammad achukue fomu ya kuteuliwa kugombea ubunge kwa chama hicho.
Hata Kibamba Chadema wana wagombea wawili
 
Chadema imekuwa kama Chama cha walevi huyo nabii shila wao wamempamba weee kwenye mitandao kila uchwao mbaka kajiona tayari ni nabii kweli alafu wanakuja tena wanamkata , aliyekwambieni mumsifie vile ni nani? Kama sio tumbaku ..
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[Tumbaku + ugoro ni viburudisho official pale Lumumba Street. Sema lingine. 😂😂QUOTE="kandamatope, post: 36448754, member: 489391"]
Chadema imekuwa kama Chama cha walevi huyo nabii shila wao wamempamba weee kwenye mitandao kila uchwao mbaka kajiona tayari ni nabii kweli alafu wanakuja tena wanamkata , aliyekwambieni mumsifie vile ni nani? Kama sio tumbaku.
[/QUOTE]
Walevi ni wale wanaopigana mitama na hii inaonyesha ni jins gani ikulu imekaliwa na genge LA watu wa aina hiyo so mwaka huu lazima hilo genge lazima liende kwao Burundi.
 
Back
Top Bottom