Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Huyu kijana alitaka apitishwe halafu ajiengue na aliahidiwa fedha taslimu million 20. Tulikanasa mawasiliano yake kajinga kweli!
Kamanda hahahaha hamkosi visingizio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kijana alitaka apitishwe halafu ajiengue na aliahidiwa fedha taslimu million 20. Tulikanasa mawasiliano yake kajinga kweli!
Huyu dogo anavisera vya kitoto eti ataleta maendeleo kwapesa zake!??! Kibiashara changuo na kufuga kitimoto ndiyo ujengee kilombero?? Akwende zaka anapenda makiki kama ya dayamondi
Tatizo la chadema ni wakurupukaji hasa mashabiki wao humu. Walimpamba sana huyu jamaa wakati ni empty set
Hao walikuwa mashabiki sio viongozi WA chadema tofautisha hapo.hapo ndio ujue chadema viongozi wake wako makini sana wape sifa zao.Tatizo la chadema ni wakurupukaji hasa mashabiki wao humu. Walimpamba sana huyu jamaa wakati ni empty set
Aibu nimeona mimiShila ni mtumishi wa Mungu na Mungu kamuepusha kwenye njia isiyosahihi.
Hao walikuwa mashabiki sio viongozi WA chadema tofautisha hapo.hapo ndio ujue chadema viongozi wake wako makini sana wape sifa zao.
Si nyie ndio mlio kua mnampa promo
Nabii shilla au maarufu Billionaire Shilla amehamia chama cha ACT na kuchukua form ya kugombea huko Kilombero.
Huyu mtu alifanya jambo la ajabu na la kijinga ambalo kama chadema wasingemfuta uanachama basi Chadema ingekuwa imepoteza umakini walionao.
Mtu hajashinda kura za maoni, na wala hajateuliwa na kamati kuu alafu anaenda mbio kuchukua form ya kugombea.
Ilikuwa ni dharau kubwa kwa kamati kuu na chama.
Ila kuna tatizo kwa baadhi ya watu maana alikuwa ashapata na wafuasi humu kwa kuamini kile anachokisema na mwisho kuitwa kamanda.
huu mwaka mtam sana
Duh,ama kweli nabii hakubaliki kwao.
Wananchi wa kijijini v/s wananchi wa mujini jibu likipatikana Gawanya na mimi wa mtandaoni ndo utajua nini uchaguzi wa awamu hii
Ukishaongiza kwenye kura kwa nini ukatwe?
Nabii shilla au maarufu Billionaire Shilla amehamia chama cha ACT na kuchukua form ya kugombea huko Kilombero.
Huyu mtu alifanya jambo la ajabu na la kijinga ambalo kama chadema wasingemfuta uanachama basi Chadema ingekuwa imepoteza umakini walionao.
Mtu hajashinda kura za maoni, na wala hajateuliwa na kamati kuu alafu anaenda mbio kuchukua form ya kugombea.
Ilikuwa ni dharau kubwa kwa kamati kuu na chama.
Ila kuna tatizo kwa baadhi ya watu maana alikuwa ashapata na wafuasi humu kwa kuamini kile anachokisema na mwisho kuitwa kamanda.
Na huyu bado hayajamkuta vizuri maana asipobadili mwenendo na hiyo style yake ya kulia lia na kulalamika kama mjane aliyedhulumiwa na ndugu wa marehemu ndo atawajua wanakijiji wa mwaka 2015 na 2020 utofauti wao.si hua tunawaambia hawakubaliki wanalazimisha , lissu nae yamemkuta hayo hayo