Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Jamaa ameaminishwa kuwa anakubalika, japo atazigawa kura za upinzani ataishia kushika namba tatu kwa tukura tuduchu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijawahi kuwa makiniChadema ingekuwa imepoteza umakini
Kwani ni kosa kunudumia mwili na roho.mbona msigwa ni mbunge na pia ni mchungaji?hamna kitu hapo.
Hakuna mtumishi wa Mungu wa kweli anayeweza kuhangaika na ubunge. Mtumishi wa Mungu ni zaidi ya Rais wa nchi.
JESUS IS LORD
Ni haki yake kuchagua chama anachotaka.
Nabii shilla au maarufu Billionaire Shilla amehamia chama cha ACT na kuchukua form ya kugombea huko Kilombero.
Huyu mtu alifanya jambo la ajabu na la kijinga ambalo kama chadema wasingemfuta uanachama basi Chadema ingekuwa imepoteza umakini walionao.
Mtu hajashinda kura za maoni, na wala hajateuliwa na kamati kuu alafu anaenda mbio kuchukua form ya kugombea.
Ilikuwa ni dharau kubwa kwa kamati kuu na chama.
Ila kuna tatizo kwa baadhi ya watu maana alikuwa ashapata na wafuasi humu kwa kuamini kile anachokisema na mwisho kuitwa kamanda.
Wakala WA CCM huyo.. Tangu kitambo

Huyu kijana alitaka apitishwe halafu ajiengue na aliahidiwa fedha taslimu million 20. Tulikanasa mawasiliano yake kajinga kweli!
Nabii shilla au maarufu Billionaire Shilla amehamia chama cha ACT na kuchukua form ya kugombea huko Kilombero.
Huyu mtu alifanya jambo la ajabu na la kijinga ambalo kama chadema wasingemfuta uanachama basi Chadema ingekuwa imepoteza umakini walionao.
Mtu hajashinda kura za maoni, na wala hajateuliwa na kamati kuu alafu anaenda mbio kuchukua form ya kugombea.
Ilikuwa ni dharau kubwa kwa kamati kuu na chama.
Ila kuna tatizo kwa baadhi ya watu maana alikuwa ashapata na wafuasi humu kwa kuamini kile anachokisema na mwisho kuitwa kamanda.
Makosa ambayo CDM iliyafanya mwaka 2015 pasipo kuchukua tahadhari yoyote juu ya wagombea wake, naliona kosa hilo likirudiwa na ACT Wazalendo kwa upande wa Tanzania Bara mwaka huu.
Nabii shilla au maarufu Billionaire Shilla amehamia chama cha ACT na kuchukua form ya kugombea huko Kilombero.
Huyu mtu alifanya jambo la ajabu na la kijinga ambalo kama chadema wasingemfuta uanachama basi Chadema ingekuwa imepoteza umakini walionao.
Mtu hajashinda kura za maoni, na wala hajateuliwa na kamati kuu alafu anaenda mbio kuchukua form ya kugombea.
Ilikuwa ni dharau kubwa kwa kamati kuu na chama.
Ila kuna tatizo kwa baadhi ya watu maana alikuwa ashapata na wafuasi humu kwa kuamini kile anachokisema na mwisho kuitwa kamanda.
Rukwa RPC shillahRpc wa wapi?
Ni Mara siyo RukwaRukwa RPC shillah
Bila ya kuwasahau mijusi kama goromondo mkuu!ACT na ukusanyaji wa makapi mmewazidi Cdm
Watakuja kenge nyoka vinyonga viwavi hata panya buku
Upinzani mnachezewa hamuoni
Shida mnaamini kila ajaye
Ulimwona Msigwa akichunga wapi.Kwani ni kosa kunudumia mwili na roho.mbona msigwa ni mbunge na pia ni mchungaji?
tatizo la nyumbu wa Ufipa ni wepesi wa kusahau.
hawa jamaa bange sana ongezea na faru john hapo walikuwa wanamsifia na kuleta taharuki kama vile sijui shilla ndio nani ,,eti leo wanamkandia ndio ujue hiki chama nusu watumiaji wa sigara bwege nusu faru john ,,View attachment 1546090
Masheikh awamu hii hawana nafasi au ndo Yale mambo yenu mliyoambiana mtageuza misikiti kuwa Sunday School.Kwahiyo bunge litakuwa la maaskofu,wachungaji, mitume na manabii?!