Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Na Wasiojulikana wa CCMKwahiyo bunge litakuwa la maaskofu,wachungaji, mitume na manabii?!
Kwahiyo bunge litakuwa la maaskofu,wachungaji, mitume na manabii?!
Rpc wa wapi?Katumwa uyo baba ake si RPC kabisa hawezi kuwa upande wetu
ShinyangaRpc wa wapi?
Ni platform gani ya chama ilimpamba? Ina maana hapa ujinga unaoufanya wewe tuuite ni wa CCM?Chadema imekuwa kama Chama cha walevi huyo nabii shila wao wamempamba weee kwenye mitandao kila uchwao mbaka kajiona tayari ni nabii kweli alafu wanakuja tena wanamkata , aliyekwambieni mumsifie vile ni nani? Kama sio tumbaku ..
hamna kitu hapo.Shila ni mtumishi wa Mungu na Mungu kamuepusha kwenye njia isiyosahihi.
Amehamishiwa Mara hivi karibuniRpc wa wapi?