Nabii Suguye: Kuna viongozi watatu Wanamhujumu Rais Samia na kama viongozi hao wasipotubu Watakufa!

Chadema haina wabunge wenye majina hayo bungeni
 
Kwa hiyo Samia anahujumiwa, na usalama hawajui, washauri wake wa karibu hawajui, ila nyie mbugula mbugila wa huku mtaani ndio mnajua?
 
Huu upumbavu ufike mwisho sasa!

Wanamhujumuje hao watu?

Yani yeye Samia si ana timu yake ya washauri? Wao hawaoni hizo hujuma?

Swali langu kuu, anahujumiwaje?
Hujuma ni pana sana, unatekelezaje majukumu yako kama kiongozi na huo utekelezaji wako unaathiri vipi nafasi ya rais. Anzia hapo. Hata maoni yako mbele ya jamii kama kiongozi, wa dini, taasisi serikali nk. Chukua mfano suala la corona.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ukweli tuukubali tu kuwa huyu mama nae uwezo wake ni mdogo sana
 
Kwani Nandy yeye anasemaje?
 
hata yeye atakufa vilevile, kwani ataishi milele? haya makanisa haya!
 
t
Yeye kaleta ujumbe wa Mungu!
unajuaje kama ni ujumbe wa mungu, mimi ni mkristo vilevile, hivi unawajua hawa manabii wa siku hizi wewe, hawa wauza maji ya upako, miujiza ya uongo na mazingaombwe, hawamhubiri Kristo na hawastahili kuitwa wakristo, na kwa nguvu walizonazo walizozipata huko wanakokujua wamekuwa wakiwaintimidate watu wasiwaquestion, ifike mahali serikali ichukue hatua kwa baadhi ya watu kama awa, kwasababu kwanza wanapoke pesa kwa masikini na kujitajirisha na kuishi maisha ambayo hata Yesu angekuwepo hapa leo asingeishi maisha hayo. ni wezi tu na Mungu hawatambui. huyo unayemtaja kuna siku hapa clip ilirushwa anahubiri uzinzi tu.
 
Huyu mama hana uwezo, hili kusema anahujumiwa naona ni uongo tu
Mbona alianza vizuri? Ni akina nani walimpunguza spidi? Ni akina nani wanaomzungusha huko na huko huku nchi ipo katika hali tete?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…