Nabii Suguye: Kuna viongozi watatu Wanamhujumu Rais Samia na kama viongozi hao wasipotubu Watakufa!

Huu upumbavu ufike mwisho sasa!

Wanamhujumuje hao watu?

Yani yeye Samia si ana timu yake ya washauri? Wao hawaoni hizo hujuma?

Swali langu kuu, anahujumiwaje?
Hukumsikiliza Mbatia ??? + Na yanayo endelea chini ya Polisi
 
Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.

Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.

Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.

Source: WRM tv
Mganga njaa mwingine katika ubora wake!
Kwani kufa ni ajabu!??kila mtu atakufa,haihitaji kumuhujumu Raisi Ili ufe!!!
Kufa ni lazima hata yeye "nabii"atakufa.
Stupidity of highest order
 
Mkuu ukweli tuukubali tu kuwa huyu mama nae uwezo wake ni mdogo sana
Hakuna ukweli wowote hapo. Wewe unasumbuliwa chuki binafsi kwa Samia na unazi wa jiwe na mfumo dume. Hakuna raisi aliyekuwa kituko kama jiwe. Kama jiwe aliweza,mama anashindwaje?
 
Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.

Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.

Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.

Source: WRM tv
Naww umeamini anahujumiwa sio kwamba cheo ni kikubwa kuliko uwezo wake

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Kama hakugusia tozo haramu za miamala....arudi asikilize tena kwa makini.
 
Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.

Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.

Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.

Source: WRM tv

HALIMA? au nimesoma vibaya??
 
Unahujumiwa ukiwa incompetent.
Uongozi sio dampo la majaribio.
Uongozi ni maisha ya watu.
Viatu vinapwaya.2025 mbali sana
 
Mkuu wa hilo kundi ni Mwigulu Nchemba wapo Majaliwa yule mrundi VP, Ndugai, zero, Ndugulile na Tulia. Wiki ya nne sasa hakuna Waziri wa Ulinzi kwa sababu kundi hilo linadai nafasi hiyo ni nyeti hivyo ni lazima awe mtu wanayemkubali wao.,
Acha uongo wewe Muosha vibibi vya kizungu!
 
Mungu si wa hivyo anavyosema Suguye. Nina mashaka na unabii wake. Nani ana kipande cha huo unabii atupie ili tuupime umetokana na Mungu au ni mawazo yake ya kibinadamu ili apate Kiki?
 
Niliandika hapa kuwa tumepata hasara awamu hii tena.

Ona sasa walevi wameanza ramli chonganishi.
 
Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.

Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.

Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.

Source: WRM tv
Wanasiasa ni kizazi cha nyoka. Watafanya kila kitu iwe ni ushirikina ulaghai uongo hata kuanzisha kanisa au kula dili na manabii feki.
 
The only thing sabotaging her presidency is her incompetency in the office.
 
Back
Top Bottom