JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Ameishaona fulsa ya kuzuga watu na mazonge yake!!Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.
Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.
Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.
Source: WRM tv
Nani hajuhi kwamba ndani ya ccm viongozi wanapingana na Kuna wengi hawakubaliani na mama Samia??!
There is nothing prophetic about this issue!!huyu ni jamabazi tu kama wengine!!
Anaizuga misukule yake!!!