Nabii Suguye: Kuna viongozi watatu Wanamhujumu Rais Samia na kama viongozi hao wasipotubu Watakufa!

Kuna uhusiano wa mawasiliano ya MUNGU nabii na akina Mdee? Kwa nini utaje baadhi ya waumini?
 
Nabii Aliongea Lakini 😁😁😁
 
Yametimia Aisee.....
 
Ngoja tuquote kwa ajili ya kuja kuunga dots baadaye...

Spika naye ni wa kuombewa kweli? Mzee wa Galilaya yule yupo vizuri 😁
Uliquote,Karibu Tena 😁😁
 
Suguye ni Nabii wa Uongo,vwakala wa kuzimu, Mbwamwitu aliyejivika ngozi ya kondoo.

Ni Bora kuabudu nyumbani kwako kuliko kupoteza muda Kwa mtu atakaekupeleka KUZIMU.

Mwenye sikio na asikie.

Ameeeen.
 
nandy anasali kwa mwamposa.
 
Wachungaji matapeli. Eti ametokewa na Mungu. Hivi huu ujinga utaisha lini Africa.....!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…