Nabii Suguye: Naona Chama cha Upinzani kikiibuka kama Giant, kisha nikaona Mwanamke aliyevaa nguo kama za Yanga akashinda Urais 2025

Tangu hilo kanisa lifungwe na serikali kisha likafunguliwa limekuwa la kupenyeza agenda na propaganda za chama.
 
Suguye ni mpenzi na shabiki wa Yanga na Ccm..hili liko wazi ,hapa kaonesha mahaba ya wazi wazi
 
Baaasi....baaassi, mchezo umekwisha, mama 2025/2030
 
matapeli wa injili hawa wa kuwachunga sana. hivi hata mimi ningeamua kutabiri kwamba samia atashinda, nitakosea, kuna mtu hajui kuwa samia atashinda mwakani, kama nape alivyosema kwamba wataiba kura. ushindi upo palepale.
 
Ushindi wa Nape Style.....The Hand's Goal.....ndio ushindi wa Kinabii Huu
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…