chiziwafursa
JF-Expert Member
- May 22, 2024
- 558
- 827
Ushaliona kumbe , daah inasikitisha kuna watu wameshaamini utabiri wakeHaha nguo za yanga, tapeli pro max hili
🤣🤣🤣Hahah, nguo kama za nini tena?
Pengine alimuona huyu mzee wa Yanga alieibuka kama giant huko mahakamani kisutuHahah, nguo kama za nini tena?
Mimi huwa nikiona comments kama hizi huwa najiuliza,hivi watu kiroho wapo so empty,kiasi kwamba hawajui hawa manabii wanamwakilisha nani?Manabii hawa wanamuwakilisha Shetani,na miujiza yao inafanywa na Shetani mwenye.Ni Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada.
Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili jijini Dar.
Anadai kuwa aliona Chama cha Upinzani kikiwa na mikakati mizito ya ushindi na kitakuwa tishio dhidi ya Chama tawala. Anasema kwa sasa kiko kimya kikisuka mipango hiyo hata hivyo anasema aliona Mwanamke mmoja akishinda uchaguzi huo.
Hata hivyo itakumbukwa hapo Mwaka 2022 Kanisa hilo linaosimamia huduma za kiroho liliwahi kufungiwa shughuli zake Chini ya Ulinza mkali wa Jeshi la Polisi likiongozwa na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi Dar Kamanda Murilo akilituhumu kuendesha shughuli zake bila kuwa na Usajiri Kamili.
Video kwenye Youtube Channel yake.
HAPA HAKUNA HATA CHEMBE YA UNABII ZAIDI YA KUTAKA KUPIGA HELA ZA WAJINGA. KWANI NANI ASIYEJUA KUWA CCM NDO WANAVAA NGUO ZA RANGI YA YANGA NA NANI ASIYEJUA KUWA MGOMBEA WA CCM NI MWANAMKE MAMA SAMIA SULUHU HASSAN. nI NANI ASIYEJUA CHADEMA NA HATA ACT UCHAGUZI WA 2025 WATAKUWA VISHINDO VIKUU KUTOKANA NA TUMBUATUMBUA YA CCM NA HIVYO BAADHI YA WALIOTUMBULIWA KUTIMKIA UPINZANI.Ni Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada.
Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili jijini Dar.
Anadai kuwa aliona Chama cha Upinzani kikiwa na mikakati mizito ya ushindi na kitakuwa tishio dhidi ya Chama tawala. Anasema kwa sasa kiko kimya kikisuka mipango hiyo hata hivyo anasema aliona Mwanamke mmoja akishinda uchaguzi huo.
Hata hivyo itakumbukwa hapo Mwaka 2022 Kanisa hilo linaosimamia huduma za kiroho liliwahi kufungiwa shughuli zake Chini ya Ulinza mkali wa Jeshi la Polisi likiongozwa na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi Dar Kamanda Murilo akilituhumu kuendesha shughuli zake bila kuwa na Usajiri Kamili.
Video kwenye Youtube Channel yake.
Na anawapiga kweliHAPA HAKUNA HATA CHEMBE YA UNABII ZAIDI YA KUTAKA KUPIGA HELA ZA WAJINGA. KWANI NANI ASIYEJUA KUWA CCM NDO WANAVAA NGUO ZA RANGI YA YANGA NA NANI ASIYEJUA KUWA MGOMBEA WA CCM NI MWANAMKE MAMA SAMIA SULUHU HASSAN. nI NANI ASIYEJUA CHADEMA NA HATA ACT UCHAGUZI WA 2025 WATAKUWA VISHINDO VIKUU KUTOKANA NA TUMBUATUMBUA YA CCM NA HIVYO BAADHI YA WALIOTUMBULIWA KUTIMKIA UPINZANI.
Mkuu watu hawasomi maandiko tena. Ni kusakata viuno tu na midundo ya mziki. Ukimaliza unapakwa mafuta unapewa na chumvi unasepaMimi huwa nikiona comments kama hizi huwa najiuliza,hivi watu kiroho wapo so empty,kiasi kwamba hawajui hawa manabii wanamwakilisha nani?Manabii hawa wanamuwakilisha Shetani,na miujiza yao inafanywa na Shetani mwenye.
Kuliona hili,naomba watu wasome maandiko yafuatayo,yapo maandiko mengi kuwahusu Manabii wa uongo,lakini haya yanatosha kuonyesha ukweli huu.
2 Petro 2:1-2
1 Lakini kuliondokea manabii wa uongo katika wale watu, kama vile kwenu kutakavyokuwako waalimu wa uongo, watakaoingiza kwa werevu uzushi wa kupoteza, wakimkana hata Bwana aliyewanunua, wakijiletea uharibifu usiokawia.
2 "Na wengi watafuata ufisadi wao; na kwa hao njia ya kweli itatukanwa.
Na kuhusu roho zifanyazo miujiza ya manabii wa uongo,someni maandiko yafuatayo,
Ufunuo wa Yohana 16:13-14
13 Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.
14 Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.
Amkeni jamani mnadanganywa sana.Note also that ni Roho hizo hizo zinazokusanya wafalme wa Dunia kwa ajili ya vita.
InawezekanaPengine alimuona huyu mzee wa Yanga alieibuka kama giant huko mahakamani kisutu
Hadi makanisaniMatapeli kila kona.
Nguo za Yanga?mpka hapo ameshaharibu😂Ni Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada.
Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili jijini Dar.
Anadai kuwa aliona Chama cha Upinzani kikiwa na mikakati mizito ya ushindi na kitakuwa tishio dhidi ya Chama tawala. Anasema kwa sasa kiko kimya kikisuka mipango hiyo hata hivyo anasema aliona Mwanamke mmoja akishinda uchaguzi huo.
Hata hivyo itakumbukwa hapo Mwaka 2022 Kanisa hilo linaosimamia huduma za kiroho liliwahi kufungiwa shughuli zake Chini ya Ulinza mkali wa Jeshi la Polisi likiongozwa na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi Dar Kamanda Murilo akilituhumu kuendesha shughuli zake bila kuwa na Usajiri Kamili.
Video kwenye Youtube Channel yake.
HahahaNguo za Yanga?mpka hapo ameshaharibu😂
Nabii kaongea kweli tupuNi Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada.
Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili jijini Dar.
Anadai kuwa aliona Chama cha Upinzani kikiwa na mikakati mizito ya ushindi na kitakuwa tishio dhidi ya Chama tawala. Anasema kwa sasa kiko kimya kikisuka mipango hiyo hata hivyo anasema aliona Mwanamke mmoja akishinda uchaguzi huo.
Hata hivyo itakumbukwa hapo Mwaka 2022 Kanisa hilo linaosimamia huduma za kiroho liliwahi kufungiwa shughuli zake Chini ya Ulinza mkali wa Jeshi la Polisi likiongozwa na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi Dar Kamanda Murilo akilituhumu kuendesha shughuli zake bila kuwa na Usajiri Kamili.
Video kwenye Youtube Channel yake.
Huyo ni tapeli, ni wajinga pekeee ndio wanaweza msikilizaNi Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada.