Nabii Suguye: Naona Chama cha Upinzani kikiibuka kama Giant, kisha nikaona Mwanamke aliyevaa nguo kama za Yanga akashinda Urais 2025

2024 bado ni nyakati ngumu kwa miaka ya ulimwengu, wanadamu hawana hofu Wala kuchuja maneno yao, katika Karne ya kale mtu kuitwa nabii ni cheo kikubwa Sana ni mtu yupo karibu na mungu muda mwingi, lakini siku hizi ukipata mtaji wa kufungua kanisa na kufanya uongo uongo mbele za watu basi unapewa cheo Cha unabii.

Mola mlezi atunusuru kwa hilo
 
Napendekeza kwa wote waonaji wa mambo yajayo, wawe wanasema baada ya uchaguzi kwa maono yao hayo!

Hii ni kwepesi kuhalalisha ushindi wa mezani
 
Ni Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada.

Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili jijini Dar.

Anadai kuwa aliona Chama cha Upinzani kikiwa na mikakati mizito ya ushindi na kitakuwa tishio dhidi ya Chama tawala. Anasema kwa sasa kiko kimya kikisuka mipango hiyo hata hivyo anasema aliona Mwanamke mmoja akishinda uchaguzi huo.

Hata hivyo itakumbukwa hapo Mwaka 2022 Kanisa hilo linaosimamia huduma za kiroho liliwahi kufungiwa shughuli zake Chini ya Ulinza mkali wa Jeshi la Polisi likiongozwa na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi Dar Kamanda Murilo akilituhumu kuendesha shughuli zake bila kuwa na Usajiri Kamili.

Video kwenye Youtube Channel yake.
Mimi huwa nikiona comments kama hizi huwa najiuliza,hivi watu kiroho wapo so empty,kiasi kwamba hawajui hawa manabii wanamwakilisha nani?Manabii hawa wanamuwakilisha Shetani,na miujiza yao inafanywa na Shetani mwenye.

Kuliona hili,naomba watu wasome maandiko yafuatayo,yapo maandiko mengi kuwahusu Manabii wa uongo,lakini haya yanatosha kuonyesha ukweli huu.

2 Petro 2:1-2
1 Lakini kuliondokea manabii wa uongo katika wale watu, kama vile kwenu kutakavyokuwako waalimu wa uongo, watakaoingiza kwa werevu uzushi wa kupoteza, wakimkana hata Bwana aliyewanunua, wakijiletea uharibifu usiokawia.
2 "Na wengi watafuata ufisadi wao; na kwa hao njia ya kweli itatukanwa.

Na kuhusu roho zifanyazo miujiza ya manabii wa uongo,someni maandiko yafuatayo,

Ufunuo wa Yohana 16:13-14
13 Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.
14 Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.

Amkeni jamani mnadanganywa sana.Note also that ni Roho hizo hizo zinazokusanya wafalme wa Dunia kwa ajili ya vita.
 
HAPA HAKUNA HATA CHEMBE YA UNABII ZAIDI YA KUTAKA KUPIGA HELA ZA WAJINGA. KWANI NANI ASIYEJUA KUWA CCM NDO WANAVAA NGUO ZA RANGI YA YANGA NA NANI ASIYEJUA KUWA MGOMBEA WA CCM NI MWANAMKE MAMA SAMIA SULUHU HASSAN. nI NANI ASIYEJUA CHADEMA NA HATA ACT UCHAGUZI WA 2025 WATAKUWA VISHINDO VIKUU KUTOKANA NA TUMBUATUMBUA YA CCM NA HIVYO BAADHI YA WALIOTUMBULIWA KUTIMKIA UPINZANI.
 
Na anawapiga kweli
 
Mimi huwa nikiona comments kama hizi huwa najiuliza,hivi watu kiroho wapo so empty,kiasi kwamba hawajui hawa manabii wanamwakilisha nani?Manabii hawa wanamuwakilisha Shetani,na miujiza yao inafanywa na Shetani mwenye.

Kuliona hili,naomba watu wasome maandiko yafuatayo,yapo maandiko mengi kuwahusu Manabii wa uongo,lakini haya yanatosha kuonyesha ukweli huu.

2 Petro 2:1-2
1 Lakini kuliondokea manabii wa uongo katika wale watu, kama vile kwenu kutakavyokuwako waalimu wa uongo, watakaoingiza kwa werevu uzushi wa kupoteza, wakimkana hata Bwana aliyewanunua, wakijiletea uharibifu usiokawia.
2 "Na wengi watafuata ufisadi wao; na kwa hao njia ya kweli itatukanwa.

Na kuhusu roho zifanyazo miujiza ya manabii wa uongo,someni maandiko yafuatayo,

Ufunuo wa Yohana 16:13-14
13 Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.
14 Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.

Amkeni jamani mnadanganywa sana.Note also that ni Roho hizo hizo zinazokusanya wafalme wa Dunia kwa ajili ya vita.
Mkuu watu hawasomi maandiko tena. Ni kusakata viuno tu na midundo ya mziki. Ukimaliza unapakwa mafuta unapewa na chumvi unasepa
 
Ni Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada.

Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili jijini Dar.

Anadai kuwa aliona Chama cha Upinzani kikiwa na mikakati mizito ya ushindi na kitakuwa tishio dhidi ya Chama tawala. Anasema kwa sasa kiko kimya kikisuka mipango hiyo hata hivyo anasema aliona Mwanamke mmoja akishinda uchaguzi huo.

Hata hivyo itakumbukwa hapo Mwaka 2022 Kanisa hilo linaosimamia huduma za kiroho liliwahi kufungiwa shughuli zake Chini ya Ulinza mkali wa Jeshi la Polisi likiongozwa na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi Dar Kamanda Murilo akilituhumu kuendesha shughuli zake bila kuwa na Usajiri Kamili.

Video kwenye Youtube Channel yake.
Nguo za Yanga?mpka hapo ameshaharibu😂
 
Nabii kaongea kweli tupu
 
Huyo ni tapeli, ni wajinga pekeee ndio wanaweza msikiliza
 
Back
Top Bottom