Nabii Tito kagusa kusikogusika, soon watamshughulia.

Dah huyu jamaa alianza Kama masihara..ila Sasa hivi ameamua kujipiga make up kabisaa Kama mwanamke..aisee..hatariiiiii...
 
Mjinga huyu anabahati yupo mbali😠😠😠😠😠😠😠😠😠
 

Attachments

  • FB_IMG_17227474240798854.jpg
    142.4 KB · Views: 2
Huyo Tito kuitwa nabii ni kosa kubwa Duniani mpk ahera.hakun kitu kama hicho an
Tunamwita nabii kama jina tu si cheo.
Yeye kajiita nabii sisi tunamwita kama ansvyotaka lakini hatumaanishi nafasi ya unabii.
 
Kwa vile huyu wa kwenu wagalatia, na hamumkubali, kwa hiyo hana uzito hata kwetu
Lakini mwambieni Mwamposa aongee hivi, tumtangazie FATWA ya kichwa chake
 
Huyu CHOKO kwelikweli??
 
Unamaanisha nini kuyakanyaga!?
 
Mh jamani hivi watu wanarogwa kusali kwa hawa jamaa wanaojiita manabii na mitume sasa mtu kajipodoa hivyo kilichobaki ni kupelekewa moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…