Nabii Tito kagusa kusikogusika, soon watamshughulia.

Nabii Tito kagusa kusikogusika, soon watamshughulia.

Hii nchi chezea vyote usimguse kiongozi Mwandamizi yeyote. Nabii Tito alilitambua hili ndio maana huwa hajawahi kuwapinga. Mara nyingi huwasifia.
Pili usiguse watu watu wa Dini ya Kiislamu. Waislamu wana msimamo na hawayumbishwi kirahisi.
Kitendo cha Nabii Tito kumgusa Muhammad ameyakanyaga.
Subirini siku chache tu mtaona majibu.
View attachment 3078826
Hapana ukihangaika na mtu ambaye hayupo sawa wewe ndio utakuwa na matatizo, huyu aachwe tu atafutiwe tiba akae sawa
 
Hapa mbona mimi sijaona tatizo. Kasema yesu ni Mgogo na Mtume Mohamad ni Mrangi. Unatakiwa kumpinga kwa hoja kwa Yesu asiwe mgogo na Mtume asiwe Mrangi maana mimi na wewe hamna aliyekuwepo ku=indi cha Mitume hao wa Mungu. Inawezekana hao mitume ni Waafrika kwa asili.
Aliyeleta hii post hakika yeye ndio hamnazo
 
Dear huenda ni kweli, Yeye si ndo ananifahamu bhanaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😅😅😅😅
Halafu ujue nina hamu kweli ya kukufahamu, tufanyeje sasa
 
Hapa mbona mimi sijaona tatizo. Kasema yesu ni Mgogo na Mtume Mohamad ni Mrangi. Unatakiwa kumpinga kwa hoja kwa Yesu asiwe mgogo na Mtume asiwe Mrangi maana mimi na wewe hamna aliyekuwepo ku=indi cha Mitume hao wa Mungu. Inawezekana hao mitume ni Waafrika kwa asili.
Kwahiyo unataka kusema huyo nabii wa mchongo yeye ndo alikuwepo Kipindi cha mitume?
 
Hii nchi chezea vyote usimguse kiongozi Mwandamizi yeyote. Nabii Tito alilitambua hili ndio maana huwa hajawahi kuwapinga. Mara nyingi huwasifia.
Pili usiguse watu watu wa Dini ya Kiislamu. Waislamu wana msimamo na hawayumbishwi kirahisi.
Kitendo cha Nabii Tito kumgusa Muhammad ameyakanyaga.
Subirini siku chache tu mtaona majibu.
View attachment 3078826
Kwani uislam hausamehi mataahira?
 
Inamana uarabu ndio dili wengine wanamind kumuita muhamadi mrangi NACHOSHUKURU NAKUFURAHIBNI KUWA WA IRAN WENGI WANAHAMIA UKRISTO THANKS YEHOVA
Halafu asilimia 90 ya warangi ni wafuasi wa mudi halafu wanachukia mudi kuitwa mrangi
 
Back
Top Bottom