Nabii Tito kagusa kusikogusika, soon watamshughulia.

Nabii Tito kagusa kusikogusika, soon watamshughulia.

Mbona hata Yesu limemtaja sababu ya mleta mada kuona watu wa mtume ndo watareact ni ipi? Acha kufuata upepo, nenda kwenye dini zenu na akili kichwani
 
Muacheni Nabii Tito hana baya, kwani kuna alikotukana hapo?

Hiyo makeup sijui kapakwa na mkewe? Wanaume kama mwanamke wako hakupi sapoti kama mke wa Nabii Tito hakufai.
Umenikumbusha kuna vile vikanisa vidogo vya mtaan unakuta humo ndani kuna mchungaji na familia yake pekee,yaan waumin ni mama na watoto wake

Kiukwel kuna wanawake wanajua sana kuwasapoti waume zao
 
Hii nchi chezea vyote usimguse kiongozi Mwandamizi yeyote. Nabii Tito alilitambua hili ndio maana huwa hajawahi kuwapinga. Mara nyingi huwasifia.
Pili usiguse watu watu wa Dini ya Kiislamu. Waislamu wana msimamo na hawayumbishwi kirahisi.
Kitendo cha Nabii Tito kumgusa Muhammad ameyakanyaga.
Subirini siku chache tu mtaona majibu.
View attachment 3078826
Misingi ya muislam ktk kuendea jambo au kusema jambo huzingatia mambo mawili 1 ni Qur an na 2 ni Hadithi hivo Qur an imemta muislam anapo literally khabari na mtu faasiq basi habari hio waichunguze pia Hadith ikafafanua kua Utakapotaka kufanya jambo lolote (ikiwemo kuongea) litazame mwisho wake ikiwa mwisho wake ni kheri lifanye na ikiwa mwisho wake ni shari liwache, sasa ukiona limejibiwa na viongozi wa uislam wenye mamlaka ujue limetazamwa kwa kina na kujiridhisha kua msemaji analenga nini
 
Mimi ni muislam na nataka nikujulishe kuwa hapo hakuna kosa lolote litakalo mfanya aadhibiwe na waislam maana hajautukana uislam wala hajafanya kosa lolote linalogusa hisia ya muislam hajapinga hata kimoja katika uislam
Wale waliochinjwa kwa kosa kuchora vikaragosi vya Mtume Muhammad walikuwa na kosa kubwa zaidi ya hili la Mh. Tito?
 
Back
Top Bottom