Nabii wa Ishara atabiri chuki kwa utawala wa Rais Samia kama hatamwachilia Mbowe

Hivi hawa watabiri hua hawana uwezo wa kutabiri mambo mazuri? Kila mtabiri hutabiri mambo mabaya!!

Sasa hivi atakuja mwingine na kujiita nabii na atasema "Simba itaanguka coz Mungu amekasirika kwa Mo kumtimua Manara"

Mtu kujiita Nabii imekua jambo jepesi sana siku hizi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenye akili hawakosoi unabii wanaangalia au wanasubiri matokeo ya unabii ikiwa watakuwa hai ili washuhudie.
 
Hivi hawa watabiri hua hawana uwezo wa kutabiri mambo mazuri? Kila mtabiri hutabiri mambo mabaya!!

Sasa hivi atakuja mwingine na kujiita nabii na atasema "Simba itaanguka coz Mungu amekasirika kwa Mo kumtimua Manara"

Mtu kujiita Nabii imekua jambo jepesi sana siku hizi.
🤣🤣🤣🤣
Aiseee
 
Back
Top Bottom