Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe.
Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa ulinzi.
Amemuonya rais SSH kujitafakari na kulinusuru taifa kwa kumuachilia Mbowe haraka iwezekanavyo.
Msikilize hapa:
View attachment 1883764
Na huyu nabii siyo wa mchezo mchezo alishawahi kutoa utabiri wake ukatimia
Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021
Katika mambo ambayo Rais ameshauriwa vibaya
1. Kuhusu suala la katiba
Hili ni fukuto ambalo lilikuwa linafukuta chini kwa chini na ilifaa Rais ajitengenezee heshima kwa kuwaletea watanzania wanachotaka. Sasa kumbe utawala wake mwanzo unasadikiwa ilikuwa ni kuwatoa tu ndugu zake masheikh wa uamsho na ikumbukwe wale masheikhe walisababisha viongozi kadhaa wa kiroho huko Zanzibar wengine kumwagiwa Tindikali na wengine kupigwa risasi na kufa na baadhi ya makanisa kuchomwa.
Hili jambo Rais linamtia kwenye
A. Udini
B. Ubaguzi
C. Kutokupendwa.
2. Kuhusu Demokrasia
Watanzania huridhika mapema Sana lakini ni wachunguzi wa mambo kwa kina Sana . Mama hapa ameshauriwa vibaya Sana kwasababu
Kufunga wanachama wa chama cha upinzani hususani chadema hii inamuondolea heshima ya utawala Bora.
Mama alipaswa kuwaita viongozi wa upinzani na kuzungumza nao, Sasa hii funga funga asipostuka anawasogeza watanzania mahali ambapo sio sahihi Sana .
3. Kuhusu Mbowe na ugaidi
Mimi naitazama katika sehemu mbili
1. Wabaya waliopo kwenye system ambao walikuwa wafuasi watiifu wa mtangulizi wake na ambao hawakupenda yeye huyu awe Rais na wanafanya Kila liwezekanalo aonekane viatu mama havimtoshi na mambo mawili ni haya
1. Funga funga Ili wamshinikize ajiudhuru au asigombee Tena.
Wale wasio mpenda yawezekana kwa hakika wameshauri vibaya Sana na yeye ameshaurika vibaya na ameingia mzima mzima kwa jambo hili.
2. Tozo za simu
Haya mambo yamemfuta mama kwenye ramani ya kupendwa.
Nini kifanyike
1. Hujachelewa wewe ni amiri jeshi mkuu
Achia watu kama ulivyowaachia washeikh na wengine wengi.
2.toa tozo hazina tija
3. Kutana na viongozi wa upinzani miyajenge
4. Wape katiba mpya watanzania
5. Sio Kila anaekushauri anakupenda , jiridhishe kabla hujachukua maamuzi.