Nabii wa Ishara atabiri chuki kwa utawala wa Rais Samia kama hatamwachilia Mbowe

Huyo nanbii anaweza kanisnai kwake kukaanza kujaa michadema kila jumapili kama kipindi kile cha gwaji boy na ubuyu wa bashite
Mm siyo chadema lkn kama nungejua mahala lilipo kanisa lake kesho ningekuwa mteja wake
 
Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe.

Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa ulinzi.

Amemuonya rais SSH kujitafakari na kulinusuru taifa kwa kumuachilia Mbowe haraka iwezekanavyo.

Msikilize hapa:

View attachment 1883764

Na huyu nabii siyo wa mchezo mchezo alishawahi kutoa utabiri wake ukatimia 100%

Huyu jamaa Anna emotions mno...Hii ndiyo kasoro yake...ana hasira kwa hiyo hakuna utabiri hapo...
 
Hivi hawa watabiri hua hawana uwezo wa kutabiri mambo mazuri? Kila mtabiri hutabiri mambo mabaya!!

Sasa hivi atakuja mwingine na kujiita nabii na atasema "Simba itaanguka coz Mungu amekasirika kwa Mo kumtimua Manara"

Mtu kujiita Nabii imekua jambo jepesi sana siku hizi.
🤣🤣🤣🤣
Huyo huyo unayemdharau tarehe 2 January, 2021 alitabiri kuwa kuna kifo cha mtu mzito kuliko wote nchini na ndani ya CCM kitatokea. Wakati huo Jiwe alikuwa yu heri na hakuna aliyejua Mchato angesepa na sanda, mara paaaap mwezi March tukaimba wimbo wa taifa na hotuba ya tanzia.

Bado ile ajali ya mtu mzito Zanzibar alitabiri miezi kadhaa kabla. We endelea kumbeza.
 
Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe.

Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa ulinzi.

Amemuonya rais SSH kujitafakari na kulinusuru taifa kwa kumuachilia Mbowe haraka iwezekanavyo.

Msikilize hapa:

View attachment 1883764

Na huyu nabii siyo wa mchezo mchezo alishawahi kutoa utabiri wake ukatimia 100%

Mwambie aanzishe Dini yake ili ukamuabudu.
Huyo huyo unayemdharau tarehe 2 January, 2021 alitabiri kuwa kuna kifo cha mtu mzito kuliko wote nchini na ndani ya CCM kitatokea. Wakati huo Jiwe alikuwa yu heri na hakuna aliyejua Mchato angesepa na sanda, mara paaaap mwezi March tukaimba wimbo wa taifa na hotuba ya tanzia.

Bado ile ajali ya mtu mzito Zanzibar alitabiri miezi kadhaa kabla. We endelea kumbeza.
 
Mbowe ataachiwa tu!sema hatoishi muda mrefu!!kama anapewa chakula na mtu ambae hata hamuoni kinyume na sheria za Polisi!!!!!RIP KAMANDA!!!!KIGAILA KATOA HINTS ZA KUPEWA CHAKULA MBOWE!!!
 
Kiukweli Mbowe maisha yake yako hatarini. Kama msosi unapita ktk mikono ya wasiojulikana kiasi hiki!!
 
Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe.

Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa ulinzi.

Amemuonya rais SSH kujitafakari na kulinusuru taifa kwa kumuachilia Mbowe haraka iwezekanavyo.

Msikilize hapa:

View attachment 1883764

Na huyu nabii siyo wa mchezo mchezo alishawahi kutoa utabiri wake ukatimia Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021
Kutegemea Manabii ndio njia pekee iliyobaki ya Chadema kupambana. Uchaguzi walishindwa. Maandamano walishindwa. Kuhudhuria kesi Kisutu walishindwa. Kilichobaki na ushuhuda tu wa manabii! Ahahahahahahah!!!
 
Kama tulizika jiwe, basi kaa ukijua na maushungi soon anazikwa
 
Back
Top Bottom