Nabii wa Ishara atabiri chuki kwa utawala wa Rais Samia kama hatamwachilia Mbowe

Huyo nabii kwanza angeweka wazi utakatifu wa Mbowe ni upi,kama kweli mtu mlevi,mzinifu mwizi wa fedha za taasisi anapendeza mbele za macho ya Bwana.
 
Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe.

Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa ulinzi.

Amemuonya rais SSH kujitafakari na kulinusuru taifa kwa kumuachilia Mbowe haraka iwezekanavyo.

Msikilize hapa:

View attachment 1883764

Na huyu nabii siyo wa mchezo mchezo alishawahi kutoa utabiri wake ukatimia 100%

MUNGU AMLINDE sana huyu Pastor.
 
Hivi hawa watabiri hua hawana uwezo wa kutabiri mambo mazuri? Kila mtabiri hutabiri mambo mabaya!!

Sasa hivi atakuja mwingine na kujiita nabii na atasema "Simba itaanguka coz Mungu amekasirika kwa Mo kumtimua Manara"

Mtu kujiita Nabii imekua jambo jepesi sana siku hizi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna zuri zaidi ya hilo?
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe.

Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa ulinzi.

Amemuonya rais SSH kujitafakari na kulinusuru taifa kwa kumuachilia Mbowe haraka iwezekanavyo.

Msikilize hapa:

View attachment 1883764

Na huyu nabii siyo wa mchezo mchezo alishawahi kutoa utabiri wake ukatimia 100%

Stuxnet Jamaa yako kanena tena jambo 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom