Hivi hawa watabiri hua hawana uwezo wa kutabiri mambo mazuri? Kila mtabiri hutabiri mambo mabaya!!
Sasa hivi atakuja mwingine na kujiita nabii na atasema "Simba itaanguka coz Mungu amekasirika kwa Mo kumtimua Manara"
Mtu kujiita Nabii imekua jambo jepesi sana siku hizi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]