Nabil Qaouk kiongozi mkuu idara ya usalama Hezbollah auawa akiwa kwenye handaki usiku huu kwa shambulizi la ndege za IDF Beirut

Kitendo cha kuharibu pager na radio za mawasiliano kilikuwa ndio mwisho wao. P. O. Box zinachelewa mno! Hadi barua ya kukupa tahadhari kuwa kimbia ikufikie tayari umauti umeishakufikia!
Huu ndio ukweli Ile ilikuwa mbaya sana
 
Kama ni double agent basi huwezi sifia Iran bali ni Israel ambayo imeweza ku-penetrate mpaka kwenye mfumo wa Iran na kuweza kusajiri double agent huko.
Ndani ya WALINZI WA MAPINDUZI wa IRAN miyahood ni mingi mnooo.
Israel kashafanya mashambulizi mengi ndani ya IRAN au maeneo nje ya IRAN ambayo ni potential za muIRAN.
 
All the best 🇮🇱
 
Kuna watu kumbe hii vita mnaifuatilia kwa karibu hivi. Hongereni
 
Mafundisho yao yamebariki kuuliwa na Wayahudi.
Kwao kuuliwa na Wayahudi ni Sunna ya Mtume wao.

Sahih al-Bukhari 2926
Narrated Abu Huraira:

Allah's Messenger (ﷺ) said, "The Hour will not be established until you fight with the Jews, and the stone behind which a Jew will be hiding will say. "O Muslim! There is a Jew hiding behind me, so kill him."
 
Kitendo cha kuharibu pager na radio za mawasiliano kilikuwa ndio mwisho wao. P. O. Box zinachelewa mno! Hadi barua ya kukupa tahadhari kuwa kimbia ikufikie tayari umauti umeishakufikia!
Dah! Wakati wengine tunawaza kwenda sijui wapi huko kula mbuzi na kuku choma, kucheza mchiriku kumcheza mwali sijui vitu gani; kuna binadamu wanakesha wakitumia akili zao walizojaliwa na Mungu sawa sawa!
 
God Bless Israel
 
Education

Qaouk's spiritual studies took place in Qom, Iran, where he was influenced by Shia ideology. His military training in Iran aligned with Hezbollah and the Iranian Revolutionary Guard Corps (IRGC)
Hizo ndio elimu za elites wa Hezbollah? Kweli haishangazi wanauliwa kama kuku wa mdondo! Akili ya aina hii itapambana vipi na Israel!
 
Kuna Jasusi wa Iran sio lazima awe wa serekali ya Iran, lakini kuna wengine wanasema kuna deal kati ya Iran na US ili Iran amiliki Nuclear weapon
Iran ndio alikuwa anawapa information hata France wamesema kuna Jasusi wa Iran yuko Lebanon je ni Iran ndio kahusika au ni huyo Jasusi peke yake ndio kahusika


View: https://youtu.be/xaZ1rEjolQc?si=4OaV60Z1z19JzjMN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…