Nabil Qaouk kiongozi mkuu idara ya usalama Hezbollah auawa akiwa kwenye handaki usiku huu kwa shambulizi la ndege za IDF Beirut

Nabil Qaouk kiongozi mkuu idara ya usalama Hezbollah auawa akiwa kwenye handaki usiku huu kwa shambulizi la ndege za IDF Beirut

Ina maana uongozi mzima umeteketea
Mpaka sasa viongozi wengi watakuwa wameuawa hasa katika lile tukio la kumuua mkuu wao watakuwa wamepukutika wengi sana,kiongozi mkuu anapouawa anakuwa amezungukwa na viongozi wengi waandamizi,ni saws na kumuua Samoa unapomua mtu mwenye ngazi kama ya Samia ujue kuwa walinzi wake wamefagilia sambamba na mawaziri na viongozi wengine.
 
Nichukue nafasi hii kumpongeza

Nabil Qaouk kiongozi mkuu idara ya usalama Hezbollah kwa kuuawa akiwa kwenye handaki kumuwahisha awahi mabikira 72​

Hongera Jeshi la Israel la IDF kumuua​

Wewe unaelekea kuchanganyikiwa popote ulipo utafutwe ufungwe kamba upelekwe kwenye kituo Cha afya ya akili kilicho karibu Yako.
Tuanze kuwapeleka wanao sema Yesu ni Mungu 😄 Kwanza mkapime zenu kwanza mkisha weza kugundua Mungu ni Mungu na Binadamu ni Binadamu ndio mje pima akili zangu kama zimewazidi kwenye level ya 1=3 😄
 
Wewe ni pumba. 😁😁😁🚮🚮
Wakristo ile formula ya 1=3 inawachanganya sana, mpa mnadhani Israel ni taifa teule. Siku nikija sema Israel ndio taifa teule mtanipenda sio mtasema naongea Ugali sio pumba 😄
 
Mafundisho yao yamebariki kuuliwa na Wayahudi.
Kwao kuuliwa na Wayahudi ni Sunna ya Mtume wao.

Sahih al-Bukhari 2926
Narrated Abu Huraira:

Allah's Messenger (ﷺ) said, "The Hour will not be established until you fight with the Jews, and the stone behind which a Jew will be hiding will say. "O Muslim! There is a Jew hiding behind me, so kill him."
Kwahiyo ukiuliwa na myahudi bikira za firidaus nje nje

Ndo maana wanashindana kuuliwa kwa Kasi sana
 
Kilichopo ni kwamba wanaotoa kichapo ni Israel,mashushu wakiwa ni Mossad hayo mengine ni yenu na hayazui kichapo.

Mnachekesha Iran watoe information halafu haohao majenerali wao wauawe kwenye kichapo na wakamfiche viongozi wao mkuu kusiko julikana kwa kuogopa kupitia na kichapo cha Israel tena haohao watoe information ili Israel awatandike vizuri hizi zitakuwa ni akili za kiaarabu.
Wewe hujui siasa dogo sababu ya akili zako ndogo sana. Warabu kama hawa UAE, Saud Arabia, Jordan, Egypt, Morocco wanatoa speech UN kuwalani Israel kwa genocide. Kumbe nyuma ya pazia ndio wanashirikiana na Israel, na Iran kupeleka Commander wake sio kwamba hahusiki.

Kuna watu wanauwa watoto zao, ndugu zao kwa ajili ya faida flani au offer flani asipeleke kitoweo Commander mmoja, anaweza katoa kitoweo ili asionekane kahusika.

Tatizo akili zako zinafikiria chini ya kitovu sio kwenye brainstorming 😄
 
Hawa Hizbollah mbona wako hivyo?

Wanapatikana kirahisi mno!

Viazi sana hao watu.

Hawa wanapigika kirahisi maana hawajifichi nyuma ya watoto, hivyo hata dunia haipigi makelele, ila kwa HAMAS hata mimi shabiki wa Israel kindakindaki ila nilikua napata ukakasi maana kila Israel wakishambulia kupiga HAMAS, lazima watoto wauawe.
 
Wakristo ile formula ya 1=3 inawachanganya sana, mpa mnadhani Israel ni taifa teule. Siku nikija sema Israel ndio taifa teule mtanipenda sio mtasema naongea Ugali sio pumba 😄
Eeeh hezbollah wanajua moto wao. Chapa chapa chapa magaidi. Dunia bila ugaidi inawezekana. Ushawahi sikia mkristo anavaa mabomu akajilipue eti akapate mabikra 72 na mito ya pombe huko janah are you stupid.
 
Wewe hujui siasa dogo sababu ya akili zako ndogo sana. Warabu UAE, Saud Arabia, Jordan, Egypt, Morocco wanatoa speech UN kuwalabi Israel kumbe nyuma ya pazia ndio wanashirikiana na Israel na Iran kupeleka Commander wake sio kwamba hahusiki.

Kuna watu wanauwa watoto zao, bdugu zao kwa ajili ya faida flani au offer flani asipeleke kitoweo Commander mmoja ili asionekane kahusika.

Tatizo akili zako zinafikiria chini ya kitovu sio kwenye brainstorming 😄
Haya ni mazingaombwe kama yale ya Allah kwenye Quran na kifo cha issa bin Mariam

Walimfananisha
 
Wewe hujui siasa dogo sababu ya akili zako ndogo sana. Warabu kama hawa UAE, Saud Arabia, Jordan, Egypt, Morocco wanatoa speech UN kuwalani Israel kwa genocide. Kumbe nyuma ya pazia ndio wanashirikiana na Israel, na Iran kupeleka Commander wake sio kwamba hahusiki.

Kuna watu wanauwa watoto zao, ndugu zao kwa ajili ya faida flani au offer flani asipeleke kitoweo Commander mmoja, anaweza katoa kitoweo ili asionekane kahusika.

Tatizo akili zako zinafikiria chini ya kitovu sio kwenye brainstorming 😄
Ukisikia kuchanganyikiwa huu ndiomwanzo wa kuchanganyikiwa na kwa kipigo kinachoendelea mwaka huu msipookota makopo mshukruni Mungu wenu.
 
Hawa wanapigika kirahisi maana hawajifichi nyuma ya watoto, hivyo hata dunia haipigi makelele, ila kwa HAMAS hata mimi shabiki wa Israel kindakindaki ila nilikua napata ukakasi maana kila Israel wakishambulia kupiga HAMAS, lazima watoto wauawe.
Jamaa vilaza sana! Hawajui kujificha.

Na ndo maana wanauliwa kama sisimizi.

Majamaa yalidhani kutumia pagers ni ujanja yakaishia kulipuliwa 🤣.

Dunia ya leo ukiwa vitani epuka kabisa vitu vyote vya mawasiliano ya kielektroniki.

Washamba sana hao jamaa.
 
Back
Top Bottom