kwanza napenda kuwashukuru wana jf kwa kunipokea jamani nyie ndo marafiki zangu naombeni ushauri yaani ninapenda sana watoto wadogo nikimuona mtu amembeba mtoto huwa nasisimka mwili mzima kwa kumfurahia huyo mtoto.mimi sina mtoto
yaani huwa nachanganyikiwa kabisa nifanyeje yani hadi ndoto zangu huwa naota niko na watoto nikiamka nakuta tu nimekumbatia mto mie nifanyeje wana jf niondokane nakhali hii akhsanteni

Embu acha tabia mbaya...tangu lini kutamani kua na mtoto/kua mama kukawa dalili za ushoga?!Kwahiyo wamama wote ni mashoga?!Dalili za ushoga hiziEehh Mungu rehemu hiki kizazi za shetani
Embu acha tabia mbaya...tangu lini kutamani kua na mtoto/kua mama kukawa dalili za ushoga?!Kwahiyo wamama wote ni mashoga?!
Ni vema ufafanue hapo kwenye red mambo yafuatayo ili uweze kusaidiwakwanza napenda kuwashukuru wana jf kwa kunipokea jamani nyie ndo marafiki zangu naombeni ushauri yaani ninapenda sana watoto wadogo nikimuona mtu amembeba mtoto huwa nasisimka mwili mzima kwa kumfurahia huyo mtoto.mimi sina mtoto
yaani huwa nachanganyikiwa kabisa nifanyeje yani hadi ndoto zangu huwa naota niko na watoto nikiamka nakuta tu nimekumbatia mto mie nifanyeje wana jf niondokane nakhali hii akhsanteni
sijaolewa bado
sijaolewa bado
zuriKaribu kwangu... nitakupatia mtoto mzuriii!!
sijaolewa bado