Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
kwanza napenda kuwashukuru wana jf kwa kunipokea jamani nyie ndo marafiki zangu naombeni ushauri yaani ninapenda sana watoto wadogo nikimuona mtu amembeba mtoto huwa nasisimka mwili mzima kwa kumfurahia huyo mtoto.mimi sina mtoto
yaani huwa nachanganyikiwa kabisa nifanyeje yani hadi ndoto zangu huwa naota niko na watoto nikiamka nakuta tu nimekumbatia mto mie mimi ni mwanamke am 30 sijaolewa niko tu single
nifanyeje wana jf niondokane nakhali hii akhsanteni