Nachanganyikiwa na watoto wana jf

Nachanganyikiwa na watoto wana jf

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
kwanza napenda kuwashukuru wana jf kwa kunipokea jamani nyie ndo marafiki zangu naombeni ushauri yaani ninapenda sana watoto wadogo nikimuona mtu amembeba mtoto huwa nasisimka mwili mzima kwa kumfurahia huyo mtoto.mimi sina mtoto
yaani huwa nachanganyikiwa kabisa nifanyeje yani hadi ndoto zangu huwa naota niko na watoto nikiamka nakuta tu nimekumbatia mto mie mimi ni mwanamke am 30 sijaolewa niko tu single
nifanyeje wana jf niondokane nakhali hii akhsanteni
 
kwanza napenda kuwashukuru wana jf kwa kunipokea jamani nyie ndo marafiki zangu naombeni ushauri yaani ninapenda sana watoto wadogo nikimuona mtu amembeba mtoto huwa nasisimka mwili mzima kwa kumfurahia huyo mtoto.mimi sina mtoto
yaani huwa nachanganyikiwa kabisa nifanyeje yani hadi ndoto zangu huwa naota niko na watoto nikiamka nakuta tu nimekumbatia mto mie nifanyeje wana jf niondokane nakhali hii akhsanteni

Si uzae au?
 
Dalili za ushoga hizi

Eehh Mungu rehemu hiki kizazi za shetani
 
Tafuta wakwako!! Mbona simple sana?
 
Embu acha tabia mbaya...tangu lini kutamani kua na mtoto/kua mama kukawa dalili za ushoga?!Kwahiyo wamama wote ni mashoga?!

Ukikuwa utajua alikuwa na maana gani!
 
Vipi ushampata yule boifrendi ulokuwa unamtafuta?
 
UFANYAJE????
Hujui watoto wanapatikanaje au jinsi ya ku-adopt?
Pls fafanua tukushauri ipasavyo.
 
Nadhani ni hii ni bora kuliko ungekuwa unawachukia watoto, sioni tatizo hapo:-
  • kama Mungu amekujali na una uwezo wa kupata mtoto siku na wakati ukifika utapata wako
  • kama kwa bahati mbaya hauna uwezo wa kupata mtoto unaweza ukafanya adoption au ukachukua mtoto wa ndugu ukamsaidia kulea
All in all ni ubidamu na kina dada wengi huwa wanapenda kupata mtoto (its just a mother in you)
 
kwanza napenda kuwashukuru wana jf kwa kunipokea jamani nyie ndo marafiki zangu naombeni ushauri yaani ninapenda sana watoto wadogo nikimuona mtu amembeba mtoto huwa nasisimka mwili mzima kwa kumfurahia huyo mtoto.mimi sina mtoto
yaani huwa nachanganyikiwa kabisa nifanyeje yani hadi ndoto zangu huwa naota niko na watoto nikiamka nakuta tu nimekumbatia mto mie nifanyeje wana jf niondokane nakhali hii akhsanteni
Ni vema ufafanue hapo kwenye red mambo yafuatayo ili uweze kusaidiwa
1. Je umeoa
2. Baada ya kuoa hamjafanikiwa kupata mtoto ndio maana una hali hiyo?
3. Au una hisia mbaya ya kimapenzi na watoto ndiyo maana unasisimka na hata kuota umekumbatia mtoto?

ELEZA VIZURI ILI UWEZE KUSAIDIWA MAANA SIJAKUELEWA
 
  • Thanks
Reactions: BAK
bado chelsea pamoja na offer ya kumlipia cinema wkend hii
 
Tunashukuru kwa promo hii wadau wameona subiri PM kwa wingi
 
we mkimbiza kwao mbona upo kaa bamboo?
 
hilo ni tatizo la kisaikolojia linalosababishwa na hali ya wewe kuwaza sana kuhusu kupata mtoto kitu ambacho huwa kinajirudia huwapo ndotoni,nakushauri kamwone mwanasikolojia kwa ushauri wa kitaalamu,habari njema ni kwamba tatizo hilo linatibika na wewe si wakwanza kulipata.pamoja tunajenga taifa.
 
Back
Top Bottom