Nachat na shemeji yangu muda huu

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari za usiku wadau.Hivi sasa ni saa 5:00usiku kwa saa za Afrika Mashariki.Shemeji kaanza kunitumia msg nikamjibu naona anaendelea tu anadai anataka kuchat na mimi.Cha kushangaza msg zake korofi kweli yaani usingizi wote kaundowa kabisa.Mnara unasoma G4.Msaada wenu tafadhari

great thinker
 
Kwa akili yako umepandwa na hamu ya kusex na shemeji yako? ikimbie zinaa

Ngw'ana Kabula
 
Ama hakika magreat thinker wa Jf ni vituko kweli kweli..

Hawa wanaweza hata kuomba ushauri mara wanapobanwa na haja ndogo/kubwa!
 
Nenda choonu kapige pureee,shemehi shemeji..shauri ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…