Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Habari za usiku wadau.Hivi sasa ni saa 5:00usiku kwa saa za Afrika Mashariki.Shemeji kaanza kunitumia msg nikamjibu naona anaendelea tu anadai anataka kuchat na mimi.Cha kushangaza msg zake korofi kweli yaani usingizi wote kaundowa kabisa.Mnara unasoma G4.Msaada wenu tafadhari
great thinker
great thinker