Nachat na shemeji yangu muda huu

Ebu ukifanikiwa ...uniambie Mimi alikuwa ananitegatega nikamtongoza akakubali ....baadae nikamwambia Tulia huko .... Niko busy [emoji23][emoji23][emoji23]
 
shemej ako kivip mkuu?
 
Mnara ukisoma G10 niite.kwa nn unapenda kula bila kunawa!!!?
 
Ebu ukifanikiwa ...uniambie Mimi alikuwa ananitegatega nikamtongoza akakubali ....baadae nikamwambia Tulia huko .... Niko busy [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu shemela inaonyesha cheche kwa hizi msg zake za kutega mamaeeeeh

great thinker
 
Dada wa manzi yangu

great thinker
poa kua makin bro usije haribu mambo mi nlishawah chapa rafiki wa demu yangu dah dem wang alipojua waligombana sana na mpk leo ni maadui...huwa naumia sana watu nliowakuta marafiki wakubwa nmewatenganisha kwajili ya ujinga wangu dah..sitorudia tena so kuwa makin maana majuto mjukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…