Nacheka kwa dharau, expand...Sukuma Kingdom is dying slowly and nicely

Nacheka kwa dharau, expand...Sukuma Kingdom is dying slowly and nicely

Status
Not open for further replies.
Hii dhana inayoundwa ya kufanya association na makabila ni mbaya sana. Maana mtuhumiwa au matendo mabaya yanakuwa labeled kwa kikundi bila kujali waliomo ndani. Matokeo yake walioko ndani ya kikundi wanapata bond na kuanza kujitetea, hapo ndipo hatari inakuwa mbaya zaidi maana hujui watatumia mbinu gani kujitetea.
 
Naomba kukuelewesha kuwa Sukuma gang si wote ni wasukuma. Miongoni mwa watu walioteswa na Sukuma gang wamo wasukuma ambao walinyang'anywa mifugo yao na wengine kuuawa. Sukuma gang kalikuwa ka kikundi faidika ka utawala uliopita ambako Sera kuu ilikuwa kutawala kwa mabavu.
Wewe huoni kuwapa jina la kabila la watu ka kikundi kadogo ka watu ni ujinga vilevile.

Kwa nini msiite hata Magufuli gang, kuliko kuhusisha ujinga wa watu wachache na kabila zima?
 
Hii dhana inayoundwa ya kufanya association na makabila ni mbaya sana. Maana mtuhumiwa au matendo mabaya yanakuwa labeled kwa kikundi bila kujali waliomo ndani. Matokeo yake walioko ndani ya kikundi wanapata bond na kuanza kujitetea, hapo ndipo hatari inakuwa mbaya zaidi maana hujui watatumia mbinu gani kujitetea.
Tatizo kile chombo muhimu cha kukusanya taarifa na kuzidadavua ni miogoni mwa taasisi za chama tawala
 
Imetupeleka wapi sasa? Hatuna maji, hatuna umeme, hatuna utawala wa sheria, hatuna democracy, hatuna katiba mpya ambayo tayari mchakato wake ilifika kileleni, hatuna gas, hatuna umeme wa jua. Yaani tu mafukara100,000,000,000,000,000%
 
ile awamu imeisha waliong'ang'anizaawamu yasita(yakufikirika)ndio walioharibu mambo.

awamu ya tano hatukua na tozo za kitapeli,mgao wa umeme wala maji.

nilidhani wimbo wenu wa ben saanane utaendelea ila mmepata kisingizio kipya aiseee subirien muuziwe mitambo feki msingizie awamu yatano
Imetupeleka wapi sasa? Hatuna maji, hatuna umeme, hatuna utawala wa sheria, hatuna democracy, hatuna katiba mpya ambayo tayari mchakato wake ilifika kileleni, hatuna gas, hatuna umeme wa jua. Yaani tu mafukara100,000,000,000,000,000%
 
Wasukuma tumeishi nao mbona ni watu walikuwa na roho nzuri tu?

Shida ni zile damu za kihutu ambazo zilijivika usukuma
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom