Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
si kweli
Awamu ya 5 iliturudisha nyuma miaka 500
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awamu ya 5 iliturudisha nyuma miaka 500
Wewe huoni kuwapa jina la kabila la watu ka kikundi kadogo ka watu ni ujinga vilevile.Naomba kukuelewesha kuwa Sukuma gang si wote ni wasukuma. Miongoni mwa watu walioteswa na Sukuma gang wamo wasukuma ambao walinyang'anywa mifugo yao na wengine kuuawa. Sukuma gang kalikuwa ka kikundi faidika ka utawala uliopita ambako Sera kuu ilikuwa kutawala kwa mabavu.
Tatizo kile chombo muhimu cha kukusanya taarifa na kuzidadavua ni miogoni mwa taasisi za chama tawalaHii dhana inayoundwa ya kufanya association na makabila ni mbaya sana. Maana mtuhumiwa au matendo mabaya yanakuwa labeled kwa kikundi bila kujali waliomo ndani. Matokeo yake walioko ndani ya kikundi wanapata bond na kuanza kujitetea, hapo ndipo hatari inakuwa mbaya zaidi maana hujui watatumia mbinu gani kujitetea.
Imetupeleka wapi sasa? Hatuna maji, hatuna umeme, hatuna utawala wa sheria, hatuna democracy, hatuna katiba mpya ambayo tayari mchakato wake ilifika kileleni, hatuna gas, hatuna umeme wa jua. Yaani tu mafukara100,000,000,000,000,000%si kweli
Mimi pia ni msukuma Ng'wana Manoni, lakini siko Sukuma gangBujibuji Simba Nyanaume Sio Wasukuma wote,unatuchanganya na sisi tusiokuwemo.
Mimi pia ni msukuma Ng'wana Manoni, lakini siko Sukuma gangBujibuji Simba Nyanaume Sio Wasukuma wote,unatuchanganya na sisi tusiokuwemo.
I salute you PacbigWewe huoni kuwapa jina la kabila la watu ka kikundi kadogo ka watu ni ujinga vilevile.
Kwa nini msiite hata Magufuli gang, kuliko kuhusisha ujinga wa watu wachache na kabila zima?
Na hii nayo ni point? Rudi kwenye dressing yako,soma comment yako kwa sauti ukijiangalia kwenye kioo kisha jipongeza kama unaona umejibu hoja kwa hojaWe ni mpumbavu fulani hivi unaefagiliwa na wapuuzi wenzio.
Waueni basii Wasukuma wote mpate raha.
Imetupeleka wapi sasa? Hatuna maji, hatuna umeme, hatuna utawala wa sheria, hatuna democracy, hatuna katiba mpya ambayo tayari mchakato wake ilifika kileleni, hatuna gas, hatuna umeme wa jua. Yaani tu mafukara100,000,000,000,000,000%